Joyce Kiria: Darasa la saba tu lakini mambo makubwa


Ukweli unabaki palepale, kuwa akiina Bill Gates na Steve Jobs hawakuwa na yeti vya colleges. Kumbuka kuwa hata hawa akina Bill na Steve hawakugundua wao hizo kompyuta na softwares bali wanafanya maboresho based on needs at time t.
 
Manina dah!mange classic anafananishwa na joyce local?hawa watu ligi tofauti kama ni wachezaji mange ni messi joyce ni fred mbuna
 

Nimependa sana hii,nadhani wanawake wenzie humu ndani walipaswa tu kumshauri kuwa akaongeze elimu kidogo ya mambo ya media kuliko kumponda eti anajishaua,hivi unaweza kumlinganisha joyce kiria na wema sepetu?
 

Kwa hiyo anataka apewe vyeti vya astashahada, stashahada na shahada kwa kuletewa ofisini kisa ana biashara? Kweli huyu akili tope!
 
Hongera sana Joyce Kiria kwa hatua uliyofikia, lakini cha kushangaza amekuwa anafanyakazi na media kwa muda mrefu sasa je ametumia hicho cheti tu cha darasa la saba au ana vyeti vingine, kama anavyo basi anaweza kuvitumia kujiendeleza, keep it up sky is the limit!
 

Italeta tija zaidi tukisaidia kuwapa mlango wa kutokea, je ni kweli kwamba milango yote ya watu kujiendeleza imefungwa? Kama ambavyo tungependa iwe all the real great thinkers wasaidieni wale wote wenye nia ya kujiendeleza wakiwemo hawa wasanii wachote hekima zenu siyo kuwavunja moyo tu-hope tukiwapa mchongo watatoboza na kwenda hata level za kimataifa
 
Mtoto wa Kike huwezi Shindana nae UZURI WAKE TU ni Degree ya kwanza sishangai kwa huyo kiria
Wanaume amkeni Achenaneni na longolongo za kina Kiria Mtoto wa kike hata asiposoma....kutoka ni simple.
MTAZOMO tu! 2sijenge chu...!
 
Na sio mpaka tuwezeshwe
Wapi wewe?????hizo kampuni alifungua kwa hela za mshahara upi wa darasa la saba?????? Huyo binti namjua kwao mshiko pia haupo hapo ni kobe juu ya mti, kapandishwa hajapanda mwenyewe
 
sishangai. Ingekua ni mwanaume ungempa sifa zote hata ungeambiwa hakuwahi kuona darasa. lakini vile ni mwanamke mwenzio, always negative. wanawake tutafika kweli kwa style hii...??

ana makubwa gani kujishaua tu....makubwa yake ni kusema elimu haina umuhimu??
 
What's the movie title on ths?????????? Wanawake na Maendeleo or Wanawake na Vijembe????
Joyce amejitahidi though kuna mapungufu kiasi...Mwanzo mgumu!! Elimu ni muhimu natumaini atajiendeleza akiwa ndani ya fani yake sijui kwa nini watu wanaconclude kwamba hapo ndio kafika?! Hongera Joyce safari ni hatua utafika.
 
Acheni kuponda tu..anastahili sifa hapo alipofikia na level yake hiyo ya elimu..kikubwa ni kumsaidia kama si kumshauri ajiendeleze kwani bado nafasi anayo, kubwa tu..
Nachukizwa sana na watu kuponda tu...wapo wanawake wengine wamesoma sana na bado ni tegemezi tu kwa wanaume!!
 
Kimeo tu.yeye na Sipora wanaitaji shule. Watanzania tuamke tusiwape sifa za kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.huyu,kanumba,ray,ze komed wanaitaji shule.tusiwape sifa wasizostaili.

ndugu usiseme usilolijua spora is next level shows zake zipo juu na yuko appreciated world wide,you cannot compare her with joyce
 
Manina dah!mange classic anafananishwa na joyce local?hawa watu ligi tofauti kama ni wachezaji mange ni messi joyce ni fred mbuna
Mange=Messi?
Amefanya kitu gani cha maana au kwa kuwa kaolewa na mzungu?
 
MbyN ana chuki binafsi, hata kama ni kumchukia mwanamke mwenzio sio hivyo. Joyce anastahili pongezi. tuambie ulikunyang'anya Kilewo tutakuelewa. wewe na elimu yako ya PHd umefanya nini cha kusaidia jamii hasa wanawake?
 
Mange ana u-classic gani, au kwa vile alikua anatega level 8 na sio Ohio au Q-bar, lakini mwisho wa siku jina ni lile lile CHANGUDOA. Joyce na u-local wake kama unavyomuita, hajafanya upuuzi huo wa kukonyeza wazungu.

Manina dah!mange classic anafananishwa na joyce local?hawa watu ligi tofauti kama ni wachezaji mange ni messi joyce ni fred mbuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…