Manina dah!mange classic anafananishwa na joyce local?hawa watu ligi tofauti kama ni wachezaji mange ni messi joyce ni fred mbuna
Who is the Man behind her success? That is the main question forget her her tears it just show that she has done nothing much to reach there.View attachment 48787
Mtangazaji Mashuhuri wa Kipindi cha Wanawake Live Bi Joyce Kiria leo 0603012 ameweka bayana kiwango chake cha elimu na kusema kwamba licha ya kwamba ameishia darasa la saba tu lakini ni mwanamke anayeweza kujivunia kwa mafanikio aliyonayo hadi sasa kwa kuweza kumiliki kampuni mbili ikiwemo ya Local Media Entertainment, ameyazungumza hayo na kuishia kububujikwa machozi wakati wa maadhimisho ya kuelekea siku ya mwanamke duniani aliyoandaliwa na WiLDAF katika ukumbi wa Karimjee (mtoa makala alikua shuhuda) na kusem
a kwamba mfumo wa elimu uliopo sasa unamkwamisha kuendeleza kipaji chake......
GOODUkweli unabaki palepale, kuwa akiina Bill Gates na Steve Jobs hawakuwa na yeti vya colleges. Kumbuka kuwa hata hawa akina Bill na Steve hawakugundua wao hizo kompyuta na softwares bali wanafanya maboresho based on needs at time t.
Nijuavyo mimi kuna tofauti kati ya talent, gift na skills, kusoma na kuelimika, inategemea wakati na mazingira, its true kama JK ana talent anahitaji skills kidogo.........GOOD
umesema wanafanya maboresho thats means inahitaji mtu mwenye akili ya ziada na ufikiri pamoja na uvumbuzi wa hali ya juu katika kufanya maboresho hayo.
swali langu kwako
JOYCE KIRIA ANA AKILI HIYO..? nijibu hilo swali then tuendelee
Hapana kwa maneno yake alikua anaomba ushauri jinsi gani atoke hapo alipo na aende mbali kimasomo....kwa jinsi nilivyomuelewaKwa hiyo anataka apewe vyeti vya astashahada, stashahada na shahada kwa kuletewa ofisini kisa ana biashara? Kweli huyu akili tope!
Kwa hiyo kama wote wanaboronga ndio tumpambe?
Salama Jabir ni afadhali
nina oracle
nina ccna
nina microsoft certification
nina diploma in computer engineering from dit
nina certificate in computer application from ucc
nina certificate in computer maintance from dit
na sasa nasoma bachelor.........dit ila sina maendeleo yoyote kweli mjini michongo