Joyce Kiria: Darasa la saba tu lakini mambo makubwa

Binafs sjiawahi kumuona yeye au show yake kwahio sijui ila kwa machache niliyosikia kama anasaidia watu its well and good, ila kama anatumia watu kwa mgongo wa kuwasaidia huku akisaidia show yake basi hio ni mbaya sana na huenda akawa ni part ya tatizo na sio solution
 

Joyce Kiria ni msema ukweli na mtetezi wawa nyonge!
Hata wewe ukiona sehemu kuna muhalifu unawajulisha polisi kama uko tayari kuambatana nao kumkamata muhalifu mnakwenda na wana mkamata!

Kumbuka kuna utii wa sheria bila shuruti na uzuri anakuwa ameambatana na viongozi wa eneo husika na muda mwingine anakuwa na polisi!
 
Last edited by a moderator:

Kaingia kwa nguvu kwenye nyumba ya nani?
 
Kaingia kwa nguvu kwenye nyumba ya nani?

Kwa hao wanaume anaodai wanawatesa wake zao na kuwakosesha haki zao. Nimeona leo na vipindi vilivyopita akilazimisha na mapolisi kuingia nyumba za watu na kuwahoji watu na kuwapeleka polisi. Inawezekana anachokifanya kina nia njema, lakini aongozwe sheria.
 

Nshomile, these are civil matters and not criminal ones. Zina taratibu zake quite different from criminal ones. She is treating his "clients" like criminals. concern yangu ipo hapo. sipingi lengo la uanaharakati wake, ila njia anayoitumia kufikia malengo yake.
 

Njia anayotumia anaweza akawa ana-aggravate problem!
 
Inawezekana ana nia nzuri lakini ni vyema akarudi darasani apigwe msasa kidogo kuhusu sheria.
 

Before I hazard my opinion I'd like to see exactly what you are talking about.

Do you happen to have video footage of that incident?
 
anachokifanya kwenye jamii ni kizuri ila anatakiwa kufuata sheria ya Jamuhuri katika utendaje wake wa kazi

Nami ndiyo concern yangu. Ana lengo zuri tu, ila it seems anakiuka sheria. Ana-violate principle ya privacy za watu! Kuja na polisi wakati "wateja" wake hawajakiuka wito wa mahakama au polisi na taking into consideration kuwa issues zake ni civil in nature!
 
Inawezekana ana nia nzuri lakini ni vyema akarudi darasani apigwe msasa kidogo kuhusu sheria.

Ndugu Msalani, kwa mujibu wa wachingiaji mbalimbali Mhusika kabla ya kuingia kwa Mteja wake anapata vibali toka mamlaka husika na wakati Mwingine anaongozana hadi na Polisi. Labda niende mbali zaidi, inawezekana jamii panapotokea udhalilishaji hutoa taarifa kwa kiongozi wa Mtaa na huyu humuita Joyce kiria ili tukio hili lipate uzito unaostahili.
 
Joyce kiria ni mdada misheni town anayetengeneza pesa kwa kutumia mgongo wa kusaidia wanawake..Mtaji wake ni wanawake wenye matatizo kumuongezea matangazo kwenye tv show yake....kuna wajinga kama yeye wanamwita mwanaharakati.
 
kuna show alionyesha uso wa mtoto aliyebakwa,ambalo ni kosa kisheria...as long as inamuongezea watazamaji na matangazo yanakuja kwake sio ishu sana...hustle zinaendelea.

Swali nauliza nisheria IPI
Nikupe taarifa hakuna kipindi kitarushwa bila kufanyiwa editing kujiridhisha kama hakivunji sheria
 
Ni housegirl mstaafu, baada ya kustaafu amekuwa kanjanja japo anajiita mwandishi wa habari, ana talaka kadhaa kibindoni baada ya kuunga paipu kama fundi bomba, ni mweusi tii ila anatumia kalolaiti awe mweupe ili aendelee na safari ya kuunga paipu
Teh teh.. kuunga pipe??mbavu zangu miye 😃😃😃
 
Kimeo tu.yeye na Sipora wanaitaji shule. Watanzania tuamke tusiwape sifa za kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.huyu,kanumba,ray,ze komed wanaitaji shule.tusiwape sifa wasizostaili.

haya basi tuwekee wanaostahili tuwaone.
 
kusoma sio lazima kufanikiwa kumaisha lakini shule inakujenga katika misingi mbalimbali. Shule kwa upana wake inasaidia kujitambua na mambo mengi zaidi. Unaweza ukawa msomi lakini bado usielemike. Akili mukichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…