Joyce Kiria kupata Ndoa ya 3? Amtambulisha mpenzi wake

Kwa hiyo Joyce Kiria kaona huyu ndio bora zaidi kuliko wale wengine wawili wa mwanzo waliomuoa na kumuacha?
Dah! Kweli mwanamke mpumbavu ni mzigo kwa mama yake.

Yaani kwa picha tu huyo jamaa anaonekana sio 'mwanaume', na hata kama ni 'mwanaume' kweli lakini sio mwanaume wa kuoa mwanamke, na hata kama ni mwanaume wa kuoa mwanamke basi hatoshei kabisa kuoa single mother iliyozeeka kama Joyce Kiria.
 
Joyce kiria shule ndogo inamtesa mama mzee anakumbatiana na kubusiana hadharani la si limbukeni nini?
Hapo hana furaha anafanya hayo kumuumiza ex husband kumbe mwenzake ka move on qlivo mjinga huyo Mario anamkutanisha na huyo baba akijifanya kuwanunulia vitu.
Joyce kiria ni mpu.mbavu sana wala Mimi niwe na watoto hafu naonyesha wanaume wengine ni very bad, poor innocent child.
 
Watu wengi hawakujiandaa na social media kuna vitu vinatakiwa vibaki private tu.
 
Watu wengi hawakujiandaa na social media kuna vitu vinatakiwa vibaki private tu.
Yani ni aibu tupu Sasa kulana denda hadharani ni ujinga jamani, kwanza kibongo bongo ni uhuni tu, aachie mengine wazungu hafu eti mwanaharakati huku naye anatafta kiki ka za kina diamond huyu atapotea mazima, angekuwaga na shule kidogo Joyce kiria angekuwa mbali sana tofauti na alipo the more ana grow ndio anazidi kuwa mjinga aisee. Nawahurumia watoto angempa baba yao tu
 
Sema mimi nadhani amezungukwa na "Yes men" watu ambao wanakubali hata akifanya upuuzi. Kama angekuwa na watu wakam-monitor baadhi ya mienendo yake ingesaidia sana. Kuna baadhi ya vitu yeye kama mtetezi wa wanawake anavifanya havijakaa poa. Mwisho wa siku watu watampuuzia tu. Labda wale wajinga kama yeye wanaosupport tabia za ajabu kama hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…