Joyce Kiria kupata Ndoa ya 3? Amtambulisha mpenzi wake

Joyce Kiria kupata Ndoa ya 3? Amtambulisha mpenzi wake

Mtangazaji wa East Africa Tv Joyce Kiria amemtambulisha Mpenzi wake mpya.

Mtangazaji huyo amedai Mpenzi wake huyu mpya ni mchagga na wamefahamiana kabla hajaingia kwenye ndoa zake zote mbili.
Mchagga huyo anaisha Ugaibuni Ulaya Taarifa yake imeeleza

"Jamani msipotoshe watu …. Ebu tuelewane hapa…. Nilipost siku chache leo Narudia tena sehemu hii ya utambulisho wa shemeji yenu…

Shemeji yenu anaitwa Aaron, ni mtanzania mchaga, ana watoto wawili wa kike 14yrs na 6yrs, ni mtalaka, anaishi Uingereza, tunafahamiana zaidi ya miaka 20 iliyopita, ni kabla kabisa sijaolewa ndoa hata moja… huyu ndo shem wenu wa kwanza, alienda zake kuishi huko majuu akaendelea na maisha yake na mimi nilibaki bongo Naendelea na maisha yangu, tulipokutana this time kila mmoja yuko singo ndo tukatudisha mapenzi yetu [emoji12] MPO? [emoji2368]

Haya Kazi Iendelee nawapenda sana [emoji8]
Wana JF ikumbukwe huyu dada alikuwa akihamasisha wanawake wawe huru kwa waume zao na ikiwezekana waachane na mabwana zao kwa Talaka kwakuwa u single mother ni "kuinjoy life"

Ajabu leo amemrudia Ex wa miaka ishirini nyuma.
View attachment 2040559
Mwanaume akisha fanya bleaching kwenye nywele huwa siyo reliable and responsible kwa kweli
 
Mmh kidogo nishangae mwanaume na heshima zake achukue huyu tahira aloshindikana,kumbe wamekutana wote wameshindikana,huyu naye mwanaume wa kusimama mbele ya watu ukasema nina mme?
Pole sana wachaga especially wanaume wa kichaga sikuwahi kujua kama kuna wanaume wadizaini hii,I thought you're a very fighting men
 
Mbona wacheka tena wife to be....mie nikajua wee nae utakuwa kwenye usingle maza huku unaenjoy life maana mambo ya kutumwa ukapeleke ndoo ya maji ya kuoga hutaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi sio single mother bwana, kweli kwa level yangu Mimi sibebi ndoo bafuni bwana, Kuna shower tu huko unawasha maji ya moto au baridi, [emoji23][emoji23]hafu kuwa single kwani Mimi ni sister mkuu
 
Kiporo cha jana hakipashwi na moto mkali sana! Walikua wanakunjana hao! Lakini nawaza jambo moja! Huyu ni mwanaume muoaji kweli?? Au mchakata mbususu tu! Sioni muoaji hapo!
Mwanaume mwenyewe mvaa hereni, hivi Joyce hawahurumii hao watoto wake wakiume aisee. Dah Mimi Bora niwe single kuliko kuwa na mwanaume mlegevu ka mlenda
 
Pale unapokuwa na mwili wa bibi ila akili ya kitoto cha miaka 6![emoji28]

Kwahio kusema huyo mpaka bleach ni EX wake na ameishi marekani toka miaka 20 iliopita ndio ina improve kitu gani katika hio situation[emoji28]?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama atabwagana na jamaa, waTanzania watakuwa wamejifunza kitu kwamba yeye ndiyo mwenye tatizo ingawa ni public figure.
Lakini kwa ninavyoona huyu Dada hajajitambua licha ya umri. Makosa mengi fanya kwenye twenties, ukifika thirties kunakuwa hakuna jipya zaidi ya kutumia hekima.
Joyce kiria anavozidi kukua ndio akili zinapungua hata huyu yatamshinda tu aisee maana wote ni watalaka, na Joyce alivo msumbufu ana laana ya mume wa kwanza
 
Ila wabongo hapana kwa kweli, yaan mahusiano ya joyce na mume wake, ila wanaoteseka ni wengine. Mara ooh mwanaume n shoga sasa huyo shoga ndo kapendwa na Madame Joyce lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu sasa sio mwanaume wala wanawake wote wanateseka [emoji23][emoji23][emoji23] maajabu haya mweeeh

Yaan watu wanapovukwa km wamelishwa Doff khaah, mtakufa na pressure wenzenu wana enjoy life, uwiiiiiih

Madame Joyve kapiga kwenye mshono afu panapouma, weuweeeeh.
 
Kwanza kabisa tujiulize elimu ya Joyce Kiria baada ya hapo tuangalie alichokuwa anahamasisha wanawake wenzake na sasa hivi anafanya nini. Me sijawahi kumkubali huyu Dada pia kutokana na umri wake hatakiwi kupost anachopost manake kuna post zingine anapost anakiss na huyo Sharobalo wake
 
Back
Top Bottom