Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Huo umri kuufikia ni ndotohadi afikie umri wa mama maria nyerere atasema hadi wachumba zake wa shule ya chekechea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo umri kuufikia ni ndotohadi afikie umri wa mama maria nyerere atasema hadi wachumba zake wa shule ya chekechea
Bro unaoa?Mbona wacheka tena wife to be....mie nikajua wee nae utakuwa kwenye usingle maza huku unaenjoy life maana mambo ya kutumwa ukapeleke ndoo ya maji ya kuoga hutaki🤣🤣🤣🤣🤣
Mweeee....labda nikipata mwanamke ambaye hataki kuzaaBro unaoa?
😂Kila la heriMweeee....labda nikipata mwanamke ambaye hataki kuzaa
Mwanaume akisha fanya bleaching kwenye nywele huwa siyo reliable and responsible kwa kweliMtangazaji wa East Africa Tv Joyce Kiria amemtambulisha Mpenzi wake mpya.
Mtangazaji huyo amedai Mpenzi wake huyu mpya ni mchagga na wamefahamiana kabla hajaingia kwenye ndoa zake zote mbili.
Mchagga huyo anaisha Ugaibuni Ulaya Taarifa yake imeeleza
"Jamani msipotoshe watu …. Ebu tuelewane hapa…. Nilipost siku chache leo Narudia tena sehemu hii ya utambulisho wa shemeji yenu…
Shemeji yenu anaitwa Aaron, ni mtanzania mchaga, ana watoto wawili wa kike 14yrs na 6yrs, ni mtalaka, anaishi Uingereza, tunafahamiana zaidi ya miaka 20 iliyopita, ni kabla kabisa sijaolewa ndoa hata moja… huyu ndo shem wenu wa kwanza, alienda zake kuishi huko majuu akaendelea na maisha yake na mimi nilibaki bongo Naendelea na maisha yangu, tulipokutana this time kila mmoja yuko singo ndo tukatudisha mapenzi yetu [emoji12] MPO? [emoji2368]
Haya Kazi Iendelee nawapenda sana [emoji8]
Wana JF ikumbukwe huyu dada alikuwa akihamasisha wanawake wawe huru kwa waume zao na ikiwezekana waachane na mabwana zao kwa Talaka kwakuwa u single mother ni "kuinjoy life"
Ajabu leo amemrudia Ex wa miaka ishirini nyuma.
View attachment 2040559
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi Mwanaume akitoboa sikio akavaa ushubwada kisha nywele akapaka U juma lokole huwa namchukulia tofauti [emoji2955]
Unainjoi ukiwa singo unainjoi."kuinjoy life"
[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi sio single mother bwana, kweli kwa level yangu Mimi sibebi ndoo bafuni bwana, Kuna shower tu huko unawasha maji ya moto au baridi, [emoji23][emoji23]hafu kuwa single kwani Mimi ni sister mkuuMbona wacheka tena wife to be....mie nikajua wee nae utakuwa kwenye usingle maza huku unaenjoy life maana mambo ya kutumwa ukapeleke ndoo ya maji ya kuoga hutaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanaume mwenyewe mvaa hereni, hivi Joyce hawahurumii hao watoto wake wakiume aisee. Dah Mimi Bora niwe single kuliko kuwa na mwanaume mlegevu ka mlendaKiporo cha jana hakipashwi na moto mkali sana! Walikua wanakunjana hao! Lakini nawaza jambo moja! Huyu ni mwanaume muoaji kweli?? Au mchakata mbususu tu! Sioni muoaji hapo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pale unapokuwa na mwili wa bibi ila akili ya kitoto cha miaka 6![emoji28]
Kwahio kusema huyo mpaka bleach ni EX wake na ameishi marekani toka miaka 20 iliopita ndio ina improve kitu gani katika hio situation[emoji28]?
Joyce kiria anavozidi kukua ndio akili zinapungua hata huyu yatamshinda tu aisee maana wote ni watalaka, na Joyce alivo msumbufu ana laana ya mume wa kwanzaKama atabwagana na jamaa, waTanzania watakuwa wamejifunza kitu kwamba yeye ndiyo mwenye tatizo ingawa ni public figure.
Lakini kwa ninavyoona huyu Dada hajajitambua licha ya umri. Makosa mengi fanya kwenye twenties, ukifika thirties kunakuwa hakuna jipya zaidi ya kutumia hekima.
Nina zawadi yakoMimi Mwanaume akitoboa sikio akavaa ushubwada kisha nywele akapaka U juma lokole huwa namchukulia tofauti [emoji2955]
😍😍Nina zawadi yako
HahahaMwanaume mbona anamwonekano wa si riziki mpaka ashtuliwe gia ya utumbo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume mbona anamwonekano wa si riziki mpaka ashtuliwe gia ya utumbo