Joyce Kiria kupata Ndoa ya 3? Amtambulisha mpenzi wake

[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi sio single mother bwana, kweli kwa level yangu Mimi sibebi ndoo bafuni bwana, Kuna shower tu huko unawasha maji ya moto au baridi, [emoji23][emoji23]hafu kuwa single kwani Mimi ni sister mkuu
Kumbe kuna mtu inabidi apinduliwe...okay
 
kuna baadhi ya wanawake ni mfano mbaya kabisa kwa mabinti zetu. ningekuwa mzazi wa huyu binti wala nisingekuwa proud kuwa baba yake. the way alivyomwaibisha yule mume wa kwanza, na the way mkuki kwa nguruwe ulivyokuja kumrudia kwa kileo, ni fundisho kwa wanawake wengi. feminism is vandalism kabisa.
 
Pale unapokuwa na mwili wa bibi ila akili ya kitoto cha miaka 6!😅

Kwahio kusema huyo mpaka bleach ni EX wake na ameishi marekani toka miaka 20 iliopita ndio ina improve kitu gani katika hio situation😅?
Kajifunua Kuwa Miaka 20 Alikuwa Na Mitala
Yaani Ndiyo Sasa Eti Penzi Moto Moto
 
Nani abebe huyo kilaza joyce,labda afuge marioo
 
Mpumbavu tu huyu, Mapenzi yana nafasi yake na Lazima Mwanaume na mwanamke wasimamie wajibu wao Bila Kutegea

sasa Kakubali vip na Wakati alikuwa anahubiri Chuki dhidi ya Wanaume, Jamaa akianza kumkosea atakuja tena Kuhamasisha Talaka

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Mimi Mwanaume akitoboa sikio akavaa ushubwada kisha nywele akapaka U juma lokole huwa namchukulia tofauti [emoji2955]
Unapenda Mwanaume aweje na je Wewe, Huweki vitu Bandia Mwilini Mwako

samahani Sina maana kama Unaweka Basi ukubali wavaa Hereni laa hasha ila nimetaka kujua tu hayo Machache kama hutojali nijibu

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…