yaani mzee Jokajeusi ile elimu yake ya kuoa bikra imenisaidia hata mimi, rasmi kabisa nasema kua SIWEZI KUOA MWANAMKE ASIYE BIKRA, huu ungese wa huyu mama umedhihirisha yote, dadekHakika tunazidi kuamini Ma ex Hawaachani. Jokajeusi anazidi kuchukuwa point. Huenda hata wakati akiwa na hao wanaume pia huyo Ex alikuwa anakula mzigo kilaini tu