Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Joyce kama binadamu mwingine nae ana moyo wa nyama unaoumia kwa pale mtu anapoaamua kukuchafua kwasababu zake anazojua yeye....

Lakini vile vile unapoamua kua kielelezo kwa jamii huna budi kua na uvumilivu pamoja na busara.

Kwani wanaojisitiri huwa na nyoyo za chuma ?????......

Hapo ndipo tofauti kati ya jokate , Vanessa na wa aina yao hutofautiana na wengineo...
Akajiendeleze kielimu labda atajifunza thamani ya kuwa public figure
 
Eti anawatetea wanawake katika kipindi chake cha 'wanawake live', lakini hao hao wanawake anawatukana 'live'
 
Hivi ni Original accaunt au ni feki maana isijekuwa Tunatema Omo tu hapa kumbe siye.
 
Hivi ni Original accaunt au ni feki maana isijekuwa Tunatema Omo tu hapa kumbe siye.

Umestukia eeh...?

Kwenye haya mambo ya social media ni rahisi sana kuchotwa na pia ni rahisi sana kwa wengine kuchukua identity za wengine.

Mi mwenyewe nishawahi kuambiwa kuna jamaa anajifanyaga ndo mimi huko kwenye magrupu ya Whatsap na kutokea totoz.

Dizaini jamaa anaona nina swaga kali za kuweza kupata totoz kali.
 
Alikuwa anatumia swaga zako za kutema ung'eng'e wa Ki-Obama JF....Kala sana papuchi za mademu wenye shobo
 
Nimecheka sana
 
Dada joy we ni jembe tena la ukweli, lkn hayo matusi makubwa waachie kina mange ambao akili imeshafwatuka, wengi tunakutazama kwa malengo chanya, ni mwanamke shupavu, so tunza heshima yako.

naamini ataufanyia kazi ushauri wako na akubali alighafilika. tunaommpenda ni wengi kuliko wanaomchukia.
 
Mbona mnampa sana kiki huyu?
Yaan utadhan ni issue kuuuuubwa presidaaa kafanya....kumbe ni huyu kikqragosi...wanaume qcheni umbea fanyeni kaz...mkishindwa fanya siasa bas
 
kiki wakati kafumwa na mmewe usiku wa manane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…