Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Joyce kama binadamu mwingine nae ana moyo wa nyama unaoumia kwa pale mtu anapoaamua kukuchafua kwasababu zake anazojua yeye....
Lakini vile vile unapoamua kua kielelezo kwa jamii huna budi kua na uvumilivu pamoja na busara.
Kwani wanaojisitiri huwa na nyoyo za chuma ?????......
Hapo ndipo tofauti kati ya jokate , Vanessa na wa aina yao hutofautiana na wengineo...
Akajiendeleze kielimu labda atajifunza thamani ya kuwa public figure