Unatujazia server
Angalia tbc sa 2 usiku utaionaUnaijua hata hio server ilivyo. Picha please
hujamboUnaijua hata hio server ilivyo. Picha please
Na ITV sa mojaAngalia tbc sa 2 usiku utaiona
hujambo
Angalia tbc sa 2 usiku utaiona
Na ITV sa moja
Numbisa hivi nikikutongoza ni dhambi?Sijambo Shikamooo
Numbisa hivi nikikutongoza ni dhambi?
Haya bwana.Nshakuamkia kaka jaman,usitongoze ndugu zako
Haituhusukiki wakati kafumwa na mmewe usiku wa manane?
Huu ushauri alipewa mwaka 2015.. two years later
2018-2015=2??????????????Mi nilifikiri 2015 ni two years ago? Hii miaka sijui siku hizi inakwendaje?
Anamaanisha alishauriwa 2015 two years later (baada ya ushauri) mambo yamekuwa mambo...hajamalizia tu mwishoMi nilifikiri 2015 ni two years ago? Hii miaka sijui siku hizi inakwendaje?
Muda ni mwalimu mzuri sana...... Muda hua haudanganyiNimejaribu kupitia post za hii akaunti ya mtu anayejiita Joyce Kiria kwenye facebook lakini hizi post zinanipa wasiwasi kama kweli ni yeye kapost au ni mahasimu wake.
Ili kama si yeye anayepost kwenye hii akaunti aweze kuchukua hatua zinazostahili ili kulinda heshima na utu wake.
================
Mada nyingine zinazoshabihiana
===============
Baadhi ya picha zilizowahi kuzua 'utata'
(with screenshots)
View attachment 343291
======================
Ushauri kutoka kwa Mdau kwenda kwa mume wa Joyce Kiria, Henry Kilewo.