Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Mitanzania mipumbafu kweli, inashadadia sana mambo ya kipumbafu kuliko ya msingi
 
Anamatatizo ya akili uyo akapimwe muelisha watu kageuka mtukanaji she's sadist
 
Mi nilifikiri 2015 ni two years ago? Hii miaka sijui siku hizi inakwendaje?
Anamaanisha alishauriwa 2015 two years later (baada ya ushauri) mambo yamekuwa mambo...hajamalizia tu mwisho
 
Nimejaribu kupitia post za hii akaunti ya mtu anayejiita Joyce Kiria kwenye facebook lakini hizi post zinanipa wasiwasi kama kweli ni yeye kapost au ni mahasimu wake.

Ili kama si yeye anayepost kwenye hii akaunti aweze kuchukua hatua zinazostahili ili kulinda heshima na utu wake.
================

Mada nyingine zinazoshabihiana



===============

Baadhi ya picha zilizowahi kuzua 'utata'

(with screenshots)

1461879496832-jpg.343204

1453477866366-jpg.318558

View attachment 343291
======================

Ushauri kutoka kwa Mdau kwenda kwa mume wa Joyce Kiria, Henry Kilewo.
Muda ni mwalimu mzuri sana...... Muda hua haudanganyi
 
Back
Top Bottom