Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Jana niliona picha yake akiliwa busu na mmewe afu kaandika kuwa watu wanapenda dyudyu na wameshanyegeka.
Siamini sana kama ni yake.
Ila sitegemei la maana kwa mtu aloanza kujiassociate na psycho mange kimambwi.
Cc: [MENTION=108619] DOMOKUBWA, carrie
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
huyu dada mwenyewe nimemuona pungu daah hajielewi aisee mana s
anajishusha sana
 
Yani, anajishushia heshima yake.
Halafu anajiona mjanja kuamdika mambo ambayo hayana staa na yana mshushia heshima..halafu huwa naona kama humsema mumewe kijanja..kwakweli nilikuwa namkubali sana Joyce Kiria lakini naona ana vuka sana mipaka sana!
siku hizi nimemdharau sana baada ya kuanza kuingilia yasiyomhusu sijui anatafuta udada wa mjini
 
Last edited by a moderator:
Halafu anajiona mjanja kuamdika mambo ambayo hayana staa na yana mshushia heshima..halafu huwa naona kama humsema mumewe kijanja..kwakweli nilikuwa namkubali sana Joyce Kiria lakini naona ana vuka sana mipaka sana!

Ig alisema hawezi kuacha kumfikia mmewe akimfikisha.
So she was content kuwa ni yeye na wala hajafanyiwa mchezo wowote kwenye page zake
Sijamfollow though.
Naona watu wanashare posts zake za kingono ngono.
 
Mimi nilitegemea atafute njia nyingine kuyaongea haya na si kwenye public page ambayo wanao soma ni wa rika tofauti!
Anaweza akawa anaongea ukweli lakini muktadha sio mzuri na njia anayo tumia ni kama ana washauri wangine wachepuke...
Account ni yake kabisa uploadfromtaptalk1438023432772.png
 
Acha dharau sababu kusoma sana sio kipimo cha busara

Samahani wala sikusudii kukudharau......CV namaanisha Curriculum Vitae ambayo kwa hakika kila mtu anayo ya kwake na haimaanishi usomi. Hata Mchunga ngómbe anayo ya kwake na kama ikimbeba anaweza hata kupata rekodi katika kitabu cha Guiness
 
Nimejaribu kupitia post za hii akaunti ya mtu anayejiita Joyce Kiria kwenye facebook lakini hizi post zinanipa wasiwasi kama kweli ni yeye kapost au ni mahasimu wake.

Ikiwezekana Clouds FM - Power breakfast (Babra Hassan, PJ na Gerald Hando) tusaidieni kumtafuta huyu mwanamama.
Ili kama si yeye anayepost kwenye hii akaunti aweze kuchukua hatua zinazostahili ili kulinda heshima na utu wake.
Kwenye red nakushukuru kwa kujua kuwa Redio inayo jishughulisha na mambo ya kimbea na ya kijinga ndio inaweza kukupatia huo umbea.
 
Halafu anajiona mjanja kuamdika mambo ambayo hayana staa na yana mshushia heshima..halafu huwa naona kama humsema mumewe kijanja..kwakweli nilikuwa namkubali sana Joyce Kiria lakini naona ana vuka sana mipaka sana!

mi siku hizi ananchefua sana kiukweli hata huyo mange na uchizi wake sijapata kumuona akiandika ushuzi ule...!!
 
Last edited by a moderator:
mi siku hizi ananchefua sana kiukweli hata huyo mange na uchizi wake sijapata kumuona akiandika ushuzi ule...!!
Huyu amekosa staha na ni kupenda sifa za kijinga! Sijui anafikiri analo liandika watu hawalijui..! Mtu mzima akikosa staha ni aibu sana...
 
Back
Top Bottom