rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Mwacheni ajiachie wabongo wanafiki sana angekuwa anavaa madera nayo mngesema vibaya kwenu jema lipi mmekaa kichawichawi
Kuna aliyevaa madera akasemwa vibaya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwacheni ajiachie wabongo wanafiki sana angekuwa anavaa madera nayo mngesema vibaya kwenu jema lipi mmekaa kichawichawi
Duuuh babe kaniweka kiganjani na hataki kurudi kijijiniRudi kijijini tulime
Aisee..?Anatufuta dyudyu ya nje,dyudyu ya mume haimtoshi
Haha umeonanee.Hahaha...uandishi wa mleta mada ni hatari!!!
Duuu ni kweli, maana mi kichapo ninachopewa na baba watoto wangu nikivaa nguo za uchi, hata vipindi vya huyu Dada nimwiko kuangalia alishanipiga marufuku, kuna siku nilikaidi agizo lake akanikuta naangalia nilipigwa kofi la shavu niliona nyotanyota za blue na njano machoni mwangu, tangu hapo nilikoma kabisa.Ndiyo Jamii Iliyo Zaliwa Tanzania Kwa Sasa. Watu Kuiga Wanzungu Mpaka Wanatembea Uchi. Si Vijana, Wazee, Mpaka Sasa Wake za Watu. Na Jimwana Mume Lina kenuatu Mkewe Kuvaa Nusu Uchi.
Shida Hapa Siyo Mwana Mke Bali Ni Mumewe Anaye Bariki Upumbavu Huu Wa Kishetani, Kwanini Wewe Mwana Mume Uache Watu Watazame Chakula Chako? Ambacho ni Chafaragha? Je! Niheshima Au Ni Kuanika Chakula Hadharani Huku watu Wakidhini Na Mkeo Kwa Macho?
Hembu Wanaume Wote Wenye Tabia Za Kuruhusu Wake Zao Kuvaa Nusu Utupu, Mjirekebishe Kwa Kusimama Katika Nafasi Zenu na Kuwaongoza Wanawake Katika Heshima Na Adabu, Iyo Uleta Heshima Kwa Mwanaume na Mkeo Atakuwa Mama Bora na Sio Bora Mama.
Ila mwambie asiwe anakupa kichapo physically, mwanaume huwezi kukipiga kiumbe dhaifu unajishusia hadhi mwenyewe.Duuu ni kweli, maana mi kichapo ninachopewa na baba watoto wangu nikivaa nguo za uchi, hata vipindi vya huyu Dada nimwiko kuangalia alishanipiga marufuku, kuna siku nilikaidi agizo lake akanikuta naangalia nilipigwa kofi la shavu niliona nyotanyota za blue na njano machoni mwangu, tangu hapo nilikoma kabisa.
Akitoa agizo nikakaidi kichapo lazima kinihusu.Ila mwambie asiwe anakupa kichapo physically, mwanaume huwezi kukipiga kiumbe dhaifu unajishusia hadhi mwenyewe.
Au shem huelewi bila kichapo nini?
Ni uwazi kabisa. Unajua tunaojuana inatakiwa tuambiane hata kwa maandishi kama haya. Angalia pichakwa taarifa zaidi.Naona nyota nyota. Hapa JF ni uwazi,siku hizi ni mafumbo
Nimeona mkuu. Huyu si ni mwanamke live? Anaishi falsafa yake,yuko live. Jamaa yake alilalamika kuwa alibanwa makengele baada ya kutuhumiwa jinai,labda performance imekuwa chini. Biashara matangazo.Ni uwazi kabisa. Unajua tunaojuana inatakiwa tuambiane hata kwa maandishi kama haya. Angalia pichakwa taarifa zaidi.
Mbona unamshauri amuache mkewe usimshauri aongee nae Ili abadilike? Na hii inategemea Kama kamanda anaona tabia za mkewe zinamkwaza.
...wale wanaochomekea kwenye mapindo ya vyupi kwetu uswazi!Kuna aliyevaa madera akasemwa vibaya?
Ndoa ya kwanza nilichangisha kama UTAMADUNI wa wengi kwenye jamii yetu...
Lakini Pamoja na michango tena mingi, tuliingia gharama zetu kubwa sana, na kama haitoshi tulikopa. Baada ya shughuli tulianza KUPIGA MIAYO YA NJAA hatuna ela na madeni juu..binafsi nilijuta sana lakini siku zote MAJUTO ni Mjukuu...(siku isiyokuwa na jina Ndoaikasambaratikia****)
Ndoa ya pili.(BOMANI/SERIKALINI)Mungu akanikutanisha na Henry Kilewo anaejua nini maana ya Mke, anaeniheshimu na kunitunza, anaenipenda na kunijali.
Henry akaandaa sherehe NDOGO SANA ndugu jamaa na marafiki WACHACHE sana, kwa GHARAMA ZAKE. Mume wangu Henry Hakusumbua mtu yeyote. Baada ya lile tukio wala hatukupata ile adha ya madeni na kuishiwa pesa kabisa ndani. Tukaendelea na maisha matamu kwa Upendo na Uaminifu mpaka sasa.
Nimeona mkuu. Huyu si ni mwanamke live? Anaishi falsafa yake,yuko live. Jamaa yake alilalamika kuwa alibanwa makengele baada ya kutuhumiwa jinai,labda performance imekuwa chini. Biashara matangazo.