Joyce Kiria Na ujasiriamali

Joyce Kiria Na ujasiriamali

cha1509

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
258
Reaction score
402
Huyu mwanadada licha ya kujulikana kama mpambanaji dhidi ya unyanyasaji wa wanawake nchini Tanzania, pia amekuwa ni mwanamke anayepnda sana kufanya shughuli zinazomiwezesha kujitegemea kiuchumi! Utamkuta anasisitiza Na kuwaomba wanawake wapige kazi kwa juhudi ili kuondokana Na hali ya utegemezi!

Leo katika kusherekea siku yake ya kuzaliwa anadai kufungua mgahawa mpya, jijini DSM! Good, hiyo n hatua nzuri tena nzuri mno! Niwatake wanawake wengine kujikip bize, au mtumie platform zenu kujinufaisha! Acheni kukaa bure (sio wote lakini mnaokaa kindezi, wachache wenu)

Hbd Joyce Kiria (superwoman)View attachment VID_30970730_101708.mp4
Joyce Kiria 20181226_193831.jpeg
 
kwa wanawake siwezi washauri hata siku moja wakae na kumsikiliza kwa jambo lolote maana ni mpotoshaji na hachelewi kupotosha wenzake, kunabaadhi ya wanawake wa mifano ila si yeye jamani si semi kwa nia mbaya ila kwa uzuri tuu,
watu wa mifano ni ka Jokate, yule mama wa nitetee (Flora) na wanawake wengine wengi wenye mitazamo chanya
 
Kama ni mpambanaji angebeba familia mwenyewe atuoneshe.
Mbona alikua anapiga kelele mitandaoni mume kakimbia hela ya matumizi hatoi..mambo ya familia anashindwa kuyamaliza nyumbani anahamia mtandaoni niige nini kutoka kwake
 
Kama ni mpambanaji angebeba familia mwenyewe atuoneshe.
Mbona alikua anapiga kelele mitandaoni mume kakimbia hela ya matumizi hatoi..mambo ya familia anashindwa kuyamaliza nyumbani anahamia mtandaoni niige nini kutoka kwake
pumbafu kabisa hi mwanamke, huwezi iga ujinga wake na vile ukikaa karibu yake utaiga na ujinga wake
 
Mungu ni pendo anapenda watu. Kama Mungu angekua anachoka kutupenda kama sisi tuvochoka kuipenda ndoa yetu siku nyingi angeshatufyekelea mbali manake uasi wa mwanadamu ni mkubwa na madhambi kwa ujumla lakini Mungu hajaamua hivo ameendelea kutupenda na yuko na sisi hadi leo.
Wewe ni nani hadi useme ndoa sio vita umetumia vigezo gani kumpima mme wako na kusema analeta vita?
Ndoa ni mfumo wa Mungu aliotuwekea tunatakiwa tuithamini, kuilinda na kuipenda hadi mwisho.
Yeyote atakae ivunja au kuwafundisha wenzake kuvunja atalaaniwa vizazi hata vizazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom