cha1509
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 258
- 402
Huyu mwanadada licha ya kujulikana kama mpambanaji dhidi ya unyanyasaji wa wanawake nchini Tanzania, pia amekuwa ni mwanamke anayepnda sana kufanya shughuli zinazomiwezesha kujitegemea kiuchumi! Utamkuta anasisitiza Na kuwaomba wanawake wapige kazi kwa juhudi ili kuondokana Na hali ya utegemezi!
Leo katika kusherekea siku yake ya kuzaliwa anadai kufungua mgahawa mpya, jijini DSM! Good, hiyo n hatua nzuri tena nzuri mno! Niwatake wanawake wengine kujikip bize, au mtumie platform zenu kujinufaisha! Acheni kukaa bure (sio wote lakini mnaokaa kindezi, wachache wenu)
Hbd Joyce Kiria (superwoman)View attachment VID_30970730_101708.mp4