Joyce Kiria naye ni mmojawapo wa wanawake aliyetelekezwa, amekwenda kuitikia ofisini kwa RC Paul Makonda

Halafu ndio anajiita mwanamke wa chuma huku kujisimamia mwenyewe hawezi.
Wanawake wengi ni midomo tu ukiwaambia wasimame wenyewe utaona wanaanza kulia.

Kila siku wanafanya harakati ya kudai uhuru wao ilihali hawako huru kiuchumi.
Wana ndoto za ajabu sana hawa
 
Hakuna cha kuhisi hii issue is too political, mbaya zaidi ni kuwatumia watu ili kugain political momentum, kuna watu wa mwanzo tuliwasikiliza pale hakuna majibu wala muafaka umepatikana af sa hv anaongeza kingine
USHAURI WANGU ANGEANZISHA NGO KUSAPOT HAWA WATU IN ONE WAY O ANOTHER VINGINEVYO HAKUNA KITU, WENGI WATAISHIA KUSHAURIWA KUFUNGUA SHITAKA MAHAKAMAN MAANA YEYE HANA MAMLAKA KISHERIA KUMLAZIMISHA MTU ATOE MATUNZO YA MTOTO.
 
kama ni kweli kakidhalilisha mno kipindi chake... Dhana ya strong woman anayoihubiri kila siku iko wapi!!?
Ni swala la fursa ya Kick.....lazima awe midomoni mwenu, ndio kazi yake...sijaona tofauti na Sepenga
 
yupo na le kibamia

le kibamia mwnyw alikimbia marekani kuogopa child support af huku kujkuta mwanaharakat kwel
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

nye nye nye na kinamama
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Naona kampelekea Makonda Invoice ya 70%
 


Kumbe huyu demu anajichubua? Duh....kweli alikuwa na haki ya kutekelezwa.
 
Hiyo mbunye ulivyoitaja kwa midadi haki vile km uko dar sio wewe ni hali ya hewa imeleta mushkel kidogo kwenye maeneo ya kazi[emoji134]
 
Swala la matunzo kwa watoto yapasa wazazi wote wawili wawajibike.
Huyo tayar alishakuwa na brand yake jina lake tosha kuitunza familia yake si sawa na wamama wauza vitumbua hapo anaharibu jina la brand yake na haiba kipind cha wanawake live kilikuwa na ukomavu flan sasa yeye analialia hao wengine atawasaidia? Ana mahali pazur pa kuistir famili yake na aibu bado anahangaika kama wakina asha ndala ndefu
 
na yeye ni binadamu km wengine,

hujui anayopitia/changamoto zipi,

behind the camera,ni binadamu na ana moyo wa nyama.
Kujiita superwoman uwe umejipanga means changamoto kama hizo anauwezo wa kuzitatua sasa kamanda limemkabili anakimbia nini maana ya superwoman?
Anaharib brand yake watu wanatafuta sana ile nafas ya kujulikana ktk society ili wafanikishe na mipango yao ktk familia lakin yy daaa vurugu tu

Zaman miaka ya 2000 nlikuwa na msikiliza sana mama terry alikuwa strong hata ushaur akikupa huping hapo kwa sasa atamshaur nani ndoa yake tu kishaanika ktk media mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…