Joyce Kiria punguza sifa



Huwa namkubali sana Hoyce Temu tangu alipokuwa Miss, nilitokea kumpenda sana na hata sasa napenda vipindi vyake... She is my role model..
 
Watu kwa kujifanya wanawajua chimbuko la familia za wenzao. Hebu tuambie mama yako alikuwa nani kwa baba yako

Mama yake Danny greeny ni kigogo wa BOT na baba yake alikuwa anafanya kazi makao makuu ya CIA Marekan! sasa hvi kahamishiwa white house
 
Last edited by a moderator:
Kuna siku nilimsoma mahali nikaona niaibu bora hata bongomovie
 

Ana sifa moja kuu kama ya kibajaji ELIMU.
 
na hakuna hata alompa airtime media zote za maana zimempuuza kakurupuka wamekashikisha adabu mtetea wanyonge ndo bingwa wa kubully wanyonge maajabu ya dunia
 
Yani ilo demu linafanya wanaume wote tuonekane wanyama,silipendi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…