miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Poa tu pacha mzima lakini?
Mie mzima aiseee....tumepoteana eeeh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa tu pacha mzima lakini?
Acha tusbirie.
Maana Kipindi chake itapote amuda sio mrefu.
Maana Hoyce Temu anafanya vizuri saana.
Na Kule Star Tv kuna mdada anakuja moto kweli.
Na Azam Tv wanakipindi kinakuja kuhusu jamii vile vile na vyote vinaendeshawa na wasomi.
Hapo ndio atajua umuhim wa Shule
Watu kwa kujifanya wanawajua chimbuko la familia za wenzao. Hebu tuambie mama yako alikuwa nani kwa baba yako
Huyu dada kipindi anaanza alikuwa vizuri lakini siku hizi anajifanya mjuaji mwanaharakati wakati harakati zenyewe hawezi amekuwa akifarakanisha ndoa nyingi.
Huku akiwashauri wanawake waachike kama yeye hana ushauri mwingine zaidi ya kuachika.
Dada amejifika vyeo ambavyo hana sifa navyo cha kushangaza ni hili la kwenda kumtetea Mange Kimambi hakuna asiyejua jinsi huyu dada anavyotukana watu kwenye blog yake.
Sasa leo hii Joyce anatoa wapi uhalali wa kumtetea au ndo kutafuta kick na kutaka sifa za kijinga.
Elimu ina umuhimu kumbe.
na hakuna hata alompa airtime media zote za maana zimempuuza kakurupuka wamekashikisha adabu mtetea wanyonge ndo bingwa wa kubully wanyonge maajabu ya duniaAcha tusbirie.
Maana Kipindi chake itapote amuda sio mrefu.
Maana Hoyce Temu anafanya vizuri saana.
Na Kule Star Tv kuna mdada anakuja moto kweli.
Na Azam Tv wanakipindi kinakuja kuhusu jamii vile vile na vyote vinaendeshawa na wasomi.
Hapo ndio atajua umuhim wa Shule