DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Kumbe ni mzee kiukweli kweli
Hii picha kweli uzee umepiga hodi atulie tu
Hajui wazee wanashobokewa na 15-25 si zaidi ya hapo na siyo single momAaaggh tutake radhi Kijana
Tatizo sio mbantu....!Unapokuwa unapayukapayuka eti kuna wanaume wanakufuatilia, wakufuatilie kwa lipi kama siyo kukuchora tu?
Wewe umri huo sana sana utafuatwa na wazee na vijana wasiojiheshimu walioharibikiwa na maisha na au hawajielewi kabisa.
Kama umeshindwa kuiheshimu ndoa yako usijidhalilishe hivyo mitandaoni eti unafuatiliwa.Kuna wanaume washamba wanaopenda wanawake maarufu, siyo kwamba eti wanakupenda.
Wanachotaka ni sifa ya kutembea na wewe tu.Hebu utazame umri wako uliotukuka na linganisha na maneno ya kipopoma unayotamka.
Hapa ni wakati akiwa housi geli au ni baada ya kuzeeka?
[emoji23] [emoji38] [emoji38] nimependa swami lako akukijibu nitagHapa ni wakati akiwa housi geli au ni baada ya kuzeeka?
[emoji15] [emoji87] [emoji87] ni kwelu kagonga 50?Joyce ...tatizo lake ni ushamba mwingi na show of ...aya mambo yamitandao yanamchanganya sana ...sasa mtu unamiaka 50+ alafu bado ujitambui ni tatizo.
Una maana ghani!!?Sasa si anataka mumsikie wanaume nyie wenye pesa na sio vimario..
7030 Eeeh
Tumemwacha mkuu, endelea naye.Anauzee gani?! Naomba Mwacheni aishi maisha Yake jamani!