Joyce Kiria umezeeka ni vyema ukajiheshimu

Joyce Kiria umezeeka ni vyema ukajiheshimu

mqdefault.jpg
Kumbe ni mzee kiukweli kweli
 
Mwacheni bibi uyo anazeeka vibaya.... Ataanza kutembea uchi soon
 
Joyce ...tatizo lake ni ushamba mwingi na show of ...aya mambo yamitandao yanamchanganya sana ...sasa mtu unamiaka 50+ alafu bado ujitambui ni tatizo.
 
Kuoa kunahitaji umakini sana. Usipoangalia yanakukuta mambo kama ya sugu na kileo
 
Unapokuwa unapayukapayuka eti kuna wanaume wanakufuatilia, wakufuatilie kwa lipi kama siyo kukuchora tu?

Wewe umri huo sana sana utafuatwa na wazee na vijana wasiojiheshimu walioharibikiwa na maisha na au hawajielewi kabisa.

Kama umeshindwa kuiheshimu ndoa yako usijidhalilishe hivyo mitandaoni eti unafuatiliwa.Kuna wanaume washamba wanaopenda wanawake maarufu, siyo kwamba eti wanakupenda.

Wanachotaka ni sifa ya kutembea na wewe tu.Hebu utazame umri wako uliotukuka na linganisha na maneno ya kipopoma unayotamka.
Tatizo sio mbantu....!
 
Huyu bibi hawezi badilika, pepo lililomvaa ni baya sana anahitaji msaada wa maombi
 
Joyce ...tatizo lake ni ushamba mwingi na show of ...aya mambo yamitandao yanamchanganya sana ...sasa mtu unamiaka 50+ alafu bado ujitambui ni tatizo.
[emoji15] [emoji87] [emoji87] ni kwelu kagonga 50?
 
Mpaka 2020 watu watatembea na nguo za ndani kichwani subiri tu chezea stress wewe
 
Back
Top Bottom