cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Una maana ghani!!?
Nini hujaelewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana ghani!!?
Huyu kibibi kabisa!
Tumemwacha mkuu, endelea naye.
Fine, lkn kweli umri huu wa kuzungumzia kutongozwa tongozwa! Kweli!!!Anauzee gani?! Naomba Mwacheni aishi maisha Yake jamani!
View attachment 726108
Unapokuwa unapayukapayuka eti kuna wanaume wanakufuatilia, wakufuatilie kwa lipi kama siyo kukuchora tu?
Wewe umri huo sana sana utafuatwa na wazee na vijana wasiojiheshimu walioharibikiwa na maisha na au hawajielewi kabisa.
Kama umeshindwa kuiheshimu ndoa yako usijidhalilishe hivyo mitandaoni eti unafuatiliwa. Kuna wanaume washamba wanaopenda wanawake maarufu, siyo kwamba eti wanakupenda.
Wanachotaka ni sifa ya kutembea na wewe tu.Hebu utazame umri wako uliotukuka na linganisha na maneno ya kipopoma unayotamka.
Kwani uzee ni udhalilishaji?wacha kumdhalilisha dada wa watu,kuzeeka huyo mkeo hatazeeka?
Uzee ni heshima na busara sio tusiKwani uzee ni udhalilishaji?
Kwani uzee ni udhalilishaji?