Joyce Kiria umezeeka ni vyema ukajiheshimu

Mumuache Dada wa watu,kisa tu kasema hataki marioo tena jamani au...amechoka kua father house huyu jamani.wanaume wajibikeni in short kasema yeye hataki kulea mwanaume tena....
 
wacha kumdhalilisha dada wa watu,kuzeeka huyo mkeo hatazeeka?
 
Huyo mzee anapenda mihogo acha kabisa.

Anakwenda kula mhogo anarudi SAA nane usiku akiwa chakali.

Kilewo akae kimya afungue mlango tu asihoji akihoji nchi nzima itajua.

Kumchamba atakwambia amepigwa huku akiwa na mekapu zake.

Kilewo hatarudia tena kuoa mchaga Wa hivyo!!!!!
 


Yeye kasema anafuatiliwa na wanaume, wewe kwa nini unabisha?
Sioni ttz hata kidogo, mtu na maisha yake.
 
Nilishangaa sana wakati anamdhalilisha mumewe kwenye tv.Heshima yangu kwake yote nikaivua.
 
Amechanganyikiwa, umri umesonga sana,,,,,,,,, hata akijiuza atakuwa ni wale malaya wa bei chee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…