Ndo wa-keep up na fasheni zao sasa. Sio kila siku kutokwa mapovu kama wana tenda za kuonja sumu. Si wanataka waitwe Mrs fulani at any cost, basi wakubali na kugharamika, after all ndoa wanaforce wenyewe so sioni point ya kulalamikia kina marios
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wanatokwa mapovu kwa sababu akili zao zilifungiwa kwenye box mwanamke lazima uolewe!! na nani hawajui zaidi ya mwanaume mwenye pumbus mbili!
Hawajafunzwa ndoa ni nini! Wanajua ni harusi na kuvaa gauni jeupe ukizungukwa na maids!
So sad! Hawajui si kila mwanaume ni potential hubby! Wengine ni wa kumaliza haja lakini hawawezi kusimama kama A Guardian and a Provider!
Women need security and provisions baada ya sex, and that's nature!