Joyce Kiria: Ushauri wa bure kwa akina bushoke majumbani mwetu tumewachoka

Ndo wa-keep up na fasheni zao sasa. Sio kila siku kutokwa mapovu kama wana tenda za kuonja sumu. Si wanataka waitwe Mrs fulani at any cost, basi wakubali na kugharamika, after all ndoa wanaforce wenyewe so sioni point ya kulalamikia kina marios

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Wanatokwa mapovu kwa sababu akili zao zilifungiwa kwenye box mwanamke lazima uolewe!! na nani hawajui zaidi ya mwanaume mwenye pumbus mbili!
Hawajafunzwa ndoa ni nini! Wanajua ni harusi na kuvaa gauni jeupe ukizungukwa na maids!
So sad! Hawajui si kila mwanaume ni potential hubby! Wengine ni wa kumaliza haja lakini hawawezi kusimama kama A Guardian and a Provider!
Women need security and provisions baada ya sex, and that's nature!
 
Watajijua wenyewe na kutaka u-mrs kunuka kwao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Watajijua wenyewe na kutaka u-mrs kunuka kwao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kuwa Mrs ni kitu kizuri sana! I have that dream too! Ila sasa worry yangu ni Mrs of who?
Marioo, average Joe, au a potential man!
Problem inaanzia hapo, choice inakuwa ndogo sana manake kwenye market wanaume magalasa ni weeengi kuliko wanaojitambua!
Anaweza asiwe na pesa lakini ana akili!
Unajua akili ni mali. My mama used to say that all the time. When akili is put to work, it creates wealthy, where there was poverty.
Wenzangu na miye wa nakupenda kuitwa Mrs bila akili ndio hao wanajilipia mahari.... bora kubaki nungayembe miaka mia 8 kuliko kuoa badala ya kuolewa!
Ukiolewa na marioo vumilia ulitaka mwenyewe!
 
kilewo atajuta kuoa darasa la saba halafu sijawahi kuona mchaga mwenye tabia za umbea na ushangingi kama huyu kweli dj nely alikuwa kabeba zigo la mavi mabichi kwenye mvua kubwa

Aksanteeeh!!! Yao yawashinda khalafu Mishipa ya Shingo yawasimama kwa Yasio wahusu. Wanajitoa ktk hali ya Uanamke na kujivika Uanamume. Hata ukiangalia jinsi Sura na Maumbo yao yalivyo yaonesha ni watu waliokata tamaa na Maisha ya Ndoa yaliobora sasa wanaona kilichobaki ni kuwa wababe tu kumbe ndo Wanazidi haribu.
 
Ndo wa-keep up na fasheni zao sasa. Sio kila siku kutokwa mapovu kama wana tenda za kuonja sumu. Si wanataka waitwe Mrs fulani at any cost, basi wakubali na kugharamika, after all ndoa wanaforce wenyewe so sioni point ya kulalamikia kina marios

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

TUNAEMFAHAMU VIZURI EZDII THE ROCKER SII MARIOO YULE. DIDA KESHASHINDIKANA AMEBAKI MAKAPI. MPAKA EZDII KASHINDWA UJUE KAZI IPO. NA NNA KUHAKIKISHIA HII ASIPOANGALIA DIDA NDIO NDOA ITAKAYOMWACHIA LAANA MPAKA ANAINGIA KABURINI. TUSUBIRI TU days are numbered...yetu macho.
 
Kuwa Mrs ni kitu kizuri sana! I have that dream too! Ila sasa worry yangu ni Mrs of who?
Marioo, average Joe, au a potential man!
Problem inaanzia hapo, choice inakuwa ndogo sana manake kwenye market wanaume magalasa ni weeengi kuliko wanaojitambua!
Anaweza asiwe na pesa lakini ana akili!
Unajua akili ni mali. My mama used to say that all the time. When akili is put to work, it creates wealthy, where there was poverty.
Wenzangu na miye wa nakupenda kuitwa Mrs bila akili ndio hao wanajilipia mahari.... bora kubaki nungayembe miaka mia 8 kuliko kuoa badala ya kuolewa!
Ukiolewa na marioo vumilia ulitaka mwenyewe!

Nadhani ndiye niliyekuwa nikimngoja over all these years..nipm plz niko serious.
 
Hivi Dadaangu wamjua Ezdii au Wamsikia??? Mii nimeishi nae huyu jamaa na pale alipo Ha,ekt ndivyo alivyo na sii MARIOO. Amelelewa ktk Maadili ya dini na ni mtu muelewa saana. Ndo nasema kama Dadaangu Dida kamshinda Ezdii sidhani kama kuna Mwanamume mwema atakaekuja kumpata tena labda ampate mwenye tabiaze.
 
wa kumuoa dida nani tena?!!!!mmmh hata ukiskia kkkaaah
 
Hahahaaa rafiki yangu hapa ananiambia inabidi aende kwenye maombi kwanini wanaomfuata kumchumbia wote hawana kazi? Hata akikaa nao kuwaeleza kazi ndiyo kitu cha muhimu wao wako biz kujifanya nitakut vizuri sana, nitakujali na kukupenda?
Fine ...... rent ya nyumba tutalipa na nini? Chakula tutapata bure kwavile tunamapenzi ya kweli? Huduma za afya je? Tukizaa watoto tutawalisha mapenzi yetu? Shule St academy watasoma bure kisa wazazi tunapendana sana? Wazazi wetu watatu exempt kwenye matunzo yao kisa tumependana sana?
Daladala tutapanda bure kisa tunamapenzi ya kweli?

Hivi Dada mbona Ezdii ana Kazi na Inamwingizia kipato sasa huo Umarioo watoka wapi kama sii Uzushi??
 
STD seven ni shiiiiida!...Hivi kwani walilazimishwa kuolewa na hao mariooo?si kiherehere chao cha kutaka ndoa? Joy anaweza akawa anahoja nzuri tu kuwa ni muhimu wanaume kufanya kazi ila style ya kuwasilisha hoja zake ndio inatia kichefchef....arudi shule kwanza....
 
kiukweli huu mpango wa haki sawa ndo umeharibu kila ki2.wanawake tangu wajue kutafuta imekuwa nongwa.heshima hakuna kbsa.wanataka wawe juu ya mwanaume kisa tu anajua kutafuta na yupo kwake hivyo anafanya atakavyo.kiukweli jmn watu hawaendi hivyo.ndo mana wanaume wengine hawataki mkewe afanye kazi ili heshma iwepo na c wa2 waishi km kambale baba sharubu na mama sharubu.badilikeni
 
Joyce kiria ni mnafiki sana afanye mambo ya wanawake live ila haya ya wanaume live atuachie wenyewe.
 
TUNAEMFAHAMU VIZURI EZDII THE ROCKER SII MARIOO YULE. DIDA KESHASHINDIKANA AMEBAKI MAKAPI. MPAKA EZDII KASHINDWA UJUE KAZI IPO. NA NNA KUHAKIKISHIA HII ASIPOANGALIA DIDA NDIO NDOA ITAKAYOMWACHIA LAANA MPAKA ANAINGIA KABURINI. TUSUBIRI TU days are numbered...yetu macho.

We kama sio Ezden basi una ukaribu nae , amwachie laana alimzaa.tunaishi mara moja hapa duniani mwacheni Dida afurahie maisha yake
 
sasa huyu Henry kileo ingawa sijui umri wake mbona namuona bado kijana mdogo tu? hivi wanawake wa kuowa wameisha?

hivi mwanamke na akili zake role model wako awe mange kimambi si ni majanga haya?

huyu Henry naye ni mchaga wa wapi zezeta namna hii? huyu mwanamke ameshasahau kama zezeta lake walishaliset up na kesi ya ugaidi.

hahaha Nelly walivyoachana mwanamke akaweka bonge la sherehe....
mie nawashangaaga watu nikienda kule kwa mange utasikia ur my role mode na blaa blaa kibao. huwa nashangaa sana
 
Waliandika Gazeti Kabisa, Joyce Nilikuwa Namuonaga Mtu Kumbe Na Yeye Mjusi Tu.
 
Back
Top Bottom