Maige Chagu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 237
- 245
chakula ya mwenyekiti hiyo 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changamoto itakuja baada ya uchaguzi wa mwaka huu. Nani apewe nani aachwe. Nafasi watakuwanazo chache sana.
Hahahaha dah!Atapewa atakae jituma zaidi kwenye 6×6
Siku hizi ni kutukana tu. Hawana hoja.Muombe Mbowe akufundishe lugha ya kiungwana. Sio kila wakati anakufundisha lugha ya kihuni tu.