Joyce Ndalichako anapenda kuongea Kiingereza lakini Kiingereza hakimpendi. Hebu aliyemuelewa hapa atuambie alikuwa anataka kusema nini?
Hii ni mara ya 2 ndani ya siku 60 kwa Waziri kuongea Kiingereza chenye uvunjifu wa sarufi na tafsiri ya neno kwa neno toka Kiswahili kuja Kiingereza. Ya kwanza ni pale alipokuwa anamtishia Mkandaarasi wa kichina kuwa nitakusweka ndani (You will stay inside)
USHAURI:
Namshauri Mh Waziri awe anaongea kwa Kiswahili tu au awe anasoma hotuba alizoandikiwa na wataalamu. Kinyume chake anadhalilisha PhD yake na Vyuo vilivyompa hizo shahada.
Iyo sentensi uliyo andika mwishoni umeandika kiswahili au ki kwenu maana usije ukawa una mkosoa Ndalichako kumbe wewe mwenyewe popoma. Ki taaluma uyo Mama Ndalichako yuko vizuri kwaiyo usimchukulie poa.
Wewe ndiye mjinga. Elimu ya Tanzania tunajifunza English kama somo compulsory kuanzia Std 1 mpaka O-level, yaani miaka 11. Na ni language of instruction kwa masomo yote kasoro Kiswahili kuanzia Form 1 hadi University yaani miaka mingine 9. Kisha kama unafanya Masters na PhD una miaka mingine 5. Kwa ujumla ana minimum ya miaka 25 ambayo alikuwa involved au kujifunza lugha au kutumia lugha ya Kiingereza
Hakuna excuse ya kusema eti Watanzania lugha yetu tunayoongea sana ni Kiswahili ndiyo uongee English fyongo kama hiyo ya Joyce. Kulazimisha kuongea "broken English" ni more damaging kuliko kuongea Kiswahili then mkalimani akakusaidia kutafsiri.
Kubalini tu kuwa Kiingereza hakimpendi, abakie kwenye Kiswahili tu, otherwise anajiaibisha kama Waziri mwenye dhamana ya Elimu nchini.
Hiyo Phd yake lugha aliyotumia kuipata ni kingereza, kushindwa kuzungumza kingereza vizuri ni lazima tuwe na mashaka research na thesis alizifanyaje?
Angekuwa Mrusi au mchina ingeeeweka lakini kaipata kwa Kingereza