Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?

Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??

Hovyo kabisa ,shithole mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama instruction language ni English, na wewe huijui hadi ume graduate, jee umesoma vipi?
 
Utaishia kulialia humu JF kana kwamba kingereza ndio kila kitu maishani. Wenye PHD za uhakika wameboronga mangapi hapa Tanzania!!.

Wenye kingereza cha oxford miaka ya nyuma ndio waliokuwa madalali wakubwa wa makampuni ya kibepari.
Mbona udalali hata baba yako Jiwe anafanya?? Hizo Tsh Trilioni 2.4 alizohoji Prof Assad ziko wapi? Ameishia kumtimua kazi kwa CAG alisimamia kwenye misingi
 
Mbona udalali hata baba yako Jiwe anafanya?? Hizo Tsh Trilioni 2.4 alizohoji Prof Assad ziko wapi? Ameishia kumtimua kazi kwa CAG alisimamia kwenye misingi
Maelezo ya hizo pesa yameshatolewa bungeni, Zitto alijiaibisha kuongelea pesa kumbe hajui mifumo mipya ya uhasibu inafanya vipi kazi.

Baba yangu ni mzee wa miaka 86 anamzaa Jiwe bila shida yoyote.
 
Dada Joy ni idiot, ni kiazi yaani. Tanzania ni Anglophone na kwa kweli lugha ya kiingereza ni rahisi sana kujifunza. Yaani mtu unasoma na kufundishwa kwa kiingereza kwa zaidi ya miaka 20 halafu unaongea hiyo broken! No excuses! Hii ni aibu. Wapuuzi mnaomtetea ni wajinga tu, hamna jipya.
 
Huyu Ndalichako ni sifuri tupu!

Halafu sijui kwanini mara nyingi watu wajinga ndio wanajifanya wasomi zaidi!

Huyu mama na magufuli wake waliwaadhibu wanafunzi wa udom kinyama wakawatimua na kuwapa jina la kejeli eti "vilaza"!.

Najaribu kuwaza, who is the real kilaza with this kind of linguistic incompetence!

Waziri anaongea kama litoto la darasa la pili kayumba school!

Ati "To make sure Tanzanians are the children of Tanzania"! Duuuuhh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nayo ni habari?

Jamani tuache ujinga basi maana nyie wenyewe mfumo wetu wa elimu mnaujua.

Mtu mwingine mpaka anapata PhD neo analoweza kulitamka kwa ufasaha ni 'is'.
Ndio Mkuu lakini huyu ni Prf
Tena waziri
Hii ni shida binafsi sio taifa.
Angekuwa mzee wa kutoa macho hapa angeongea Kama mtangazaji wa CNN
 
Joyce Ndalichako anapenda kuongea Kiingereza lakini Kiingereza hakimpendi. Hebu aliyemuelewa hapa atuambie alikuwa anataka kusema nini?

Hii ni mara ya 2 ndani ya siku 60 kwa Waziri kuongea Kiingereza chenye uvunjifu wa sarufi na tafsiri ya neno kwa neno toka Kiswahili kuja Kiingereza. Ya kwanza ni pale alipokuwa anamtishia Mkandaarasi wa kichina kuwa nitakusweka ndani (You will stay inside)

USHAURI:
Namshauri Mh Waziri awe anaongea kwa Kiswahili tu au awe anasoma hotuba alizoandikiwa na wataalamu. Kinyume chake anadhalilisha PhD yake na Vyuo vilivyompa hizo shahada.

Zaidi soma: Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?
View attachment 1355606
Hatimaye leo Rais SSH ametuindolea aibu hii kwenye tasnia ya Elimu.

Ilikuwa haileti mantiki kabisa kuwa na Waziri wa Elimu mwenye BROKEN English.

Peleka huko kwa vijana na kazi ndiyo akaingee kingereza chake cha Chato
 
Haa
Amesikia Maoni
Ametuondolea Aibu
 
Back
Top Bottom