Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,259
- 2,971
ufuluentii ndo nn mkuu?😃Hichi ni Kingleza siyo kiingereza msichanganye!! naomba siku ahojiwe CNN kwakushtukizwa!! Kiukweli mwanangu std 6 anamzidi huyu profesa "ufuluenti" kirruuu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ufuluentii ndo nn mkuu?😃Hichi ni Kingleza siyo kiingereza msichanganye!! naomba siku ahojiwe CNN kwakushtukizwa!! Kiukweli mwanangu std 6 anamzidi huyu profesa "ufuluenti" kirruuu!!
Acha kuamisha magori mkuu, mada siyo kumzidi kimaisha, swala msomi kama yeye alafu lugha inampiga chenga kiasi hicho inafanya watu tuwe na mashaka na hiyo PhD yake. Sina PhD na nimesoma hizi shule zetu lakini hanikuti hata robo kwenye hiyo lugha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilemakyaaro nenda kaangalie likes kwenye posts zangu ndiyo utajua kuwa una bahati kushiriki mada na Great thinkers.Ubongo wa mende kama wako ndio unaotufanya tunateseka kama Taifa, yaan wewe kuongea kiingereza ni deal sanaaa kuliko message aliokuwa akiifikisha? Waingereza wangapi tena viongozi wanaboronga kiswahil na huleti uzi hapa? Acha ujinga bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni udhaifu ni wa kwako ila msilazimishe kuwa ni wa Watanzania wote. No kuna Watanzania wengi wamesoma hapa hapa Tanzania elimu yao yote mpaka Degree na wana flow English nzuri.Mkuu imhotep inawezekana hata wewe ukipewa hizo nafasi kubwa ukatakiwa utoe mhadhara mbele ya umati ukajikuta unazichanganya past na present tense, hilo lugha huwa hatuiongei mtaani wakati wa kununua maua au nyanya sokoni.
Tofauti na Kenya, Nigeria na South Africa, tunakosa kujiamini kwani hatuna utamaduni wa maongezi ya kingereza ya kila siku.
Majukumu yao wanayatimiza kwa umahiri mkubwa sana mpaka ujumbe unawafikia hao wenye kukijua kingereza vyema.
Kila Mtanzania ambae ana level ya dr uwa hawez kuongea Kingereza fasaha wala Kiswahili fasaha
Cha muhimu ni ufanisi wako wa kazi sio uwezo wako wa kuiongea lugha ya kingereza. Matapeli wangapi Nigeria wapo jela kwa kuponzwa na kingereza chao kizuri?.Kama ni udhaifu ni wa kwako ila msilazimishe kuwa ni wa Watanzania wote. No kuna Watanzania wengi wamesoma hapa hapa Tanzania elimu yao yote mpaka Degree na wana flow English nzuri.
Mleta mada kaleta wazo lenye dhihaka ndani yake, ndio maana namwambia hii lugha sio kila moja anaiweza lakini kutoiweza haimaanishi kwamba maisha hayaendelei kama kawaida.Mkuu hakuna sehemu tumesema kuwa majukumu yao wameshindwa kuyatekeleza, labda kama hujaelewa mada hii. Sidhani kama kuna mtu kahoji kuweza/kutoweza kutekeleza majukumu ya waziri. Kwani hata watu aliyokuwa anawa address ni wachina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Waziri wa Elimu anayeongea Kiingereza kibovu atasimamiaje quality ya Elimu? Naye si yuko sawa tu na hao matapeli wa Kinigeria.?Cha muhimu ni ufanisi wako wa kazi sio uwezo wako wa kuiongea lugha ya kingereza. Matapeli wangapi Nigeria wapo jela kwa kuponzwa na kingereza chao kizuri?.
Utaishia kulialia humu JF kana kwamba kingereza ndio kila kitu maishani. Wenye PHD za uhakika wameboronga mangapi hapa Tanzania!!.Sasa Waziri wa Elimu anayeongea Kiingereza kibovu atasimamiaje quality ya Elimu? Naye si yuko sawa tu na hao matapeli wa Kinigeria.?
Ameshiriki kuwatoa watu wenye vyeti feki mwaka 2017na 2018. Cheti feki kisiiishie kugushi majina bali vile vile ni pamoja na kuwa na cheti ambacho hakilingani na elimu yako.
Una PhD huwezi kusimamisha hata sentensi moja ya English yenye afya, HIYO PHD NAYO NI FEKI.
Zwazwa Mbowe na Waliokulea kutokuwa na adabu kwa Wakubwa. Kwa kauli zako zinavyoonesha itakuwa ni MarioòNi zwazwa huyo waziri wenu, ni heri hata wale wanafunzi waliowafukuza pale Udom mwaka ule wakiwaita vilaza, hivi nani kilaza kati wale wanafunzi na ndalichako na magu ?
Mnatetea elimu yetu kuelekea shimoni. Yani kiwango chake cha kuzungumza kingereza na cha chini sana yani sana kwa mtu aliyesoma mpaka kuwa professor kwa kutumia hiyo lugha.Vyuo hutumia idara za lugha kuwasaidia wanafunzi wenye matege ya lugha kunyosha kazi zao.
Ni huduma inayolipiwa na mhusika. Hata mitaani kuna huduma hii.
Tusisahau msimamizi pia humsaidia mwanafunzi wake kuweka lugha vizuri.
Uko wapi utetezi?Mnatetea elimu yetu kuelekea shimoni. Yani kiwango chake cha kuzungumza kingereza na cha chini sana yani sana kwa mtu aliyesoma mpaka kuwa professor kwa kutumia hiyo lugha.
Sawa ,basi asome written speech , mfano Bi Samia Suluhu anatema english safi kutoka text.Mkuu imhotep inawezekana hata wewe ukipewa hizo nafasi kubwa ukatakiwa utoe mhadhara mbele ya umati ukajikuta unazichanganya past na present tense, hilo lugha huwa hatuiongei mtaani wakati wa kununua maua au nyanya sokoni.
Tofauti na Kenya, Nigeria na South Africa, tunakosa kujiamini kwani hatuna utamaduni wa maongezi ya kingereza ya kila siku.
Yani kumbe hujaelewa, hapa mantiki ni kwamba kumbe mtu anaweza kuwa professor kwa njia za mkato mkato na ndicho kinachotokea.Uko wapi utetezi?
Nilikuwa najaribu kuwaeleza wasiojua nawe ukiwemo Kingereza kwenye thesis sio hoja maana mtu anaweza kusaidiwa kuandika vizuri. Ni kitu cha kawaida sana.
Always kuna swali, aliwezaje kuandika thesis kama lugha ina matege. Jibu ni hilo.
Ukweli kwamba Joyce hajui English vizuri unabaki pale pale.
Hili swali la kijinga sana na irrelevantKwani sayansi yote inasomwa kwa kiingereza kote duniani?