JPM anatumia kinywaji gani?

JPM anatumia kinywaji gani?

Cuf wanajielewa hawataki kuburuzwa kama wanavyoburuzwa majizi Chadema na mbadilisha gia za angani mfalme Mbowe
 
Hahaha ngoja nipige kimyaaa naona mods wananiwinda [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji15] [emoji12]
 
Wasukuma kwa ile kitu ya mapapai hawawezekani.
 
Wakati tumbua tumbua ya majipu ilivoanza tulisema ni nguvu ya soda nae mtukufu.Dr.Mwl.Mh. pombe alisema "soda ikichanganywa na gongo huwa Kali sana " labda huenda anapiga iyo.... Natania tu
 
Hairee Bob
1471967339579.jpg
1471967343552.jpg
two in one
 
Anahitaji kunywa wine au beer kidogo ili ajifunze ku take easy

nasikia hanywi pombe kabisa
 
Nauliza jamani kwa wanaomfahamu vizuri,hivi bosi huwa anakunywa? kama anakunywa anatumia kinywaji gani? maana JK alikuwa anatumia Juisi, Kambarage alikuwa anapiga bia aina ya plisner,soda ya fanta na wine aina ya Mateus (‘Dokta Nchia’: Mpishi wa Nyerere | Gazeti la Jamhuri) Ben nae?
Dah...Unataka kumpa ofa nini?? Usijali mkuu..Mheshimiwa yupo simpo sana...hata maji ya Kandoro anagonga tu hanaga makuu..🙂🙂
 
Back
Top Bottom