darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Nauliza jamani kwa wanaomfahamu vizuri,hivi bosi huwa anakunywa? kama anakunywa anatumia kinywaji gani? maana JK alikuwa anatumia Juisi, Kambarage alikuwa anapiga bia aina ya plisner,soda ya fanta na wine aina ya Mateus (‘Dokta Nchia’: Mpishi wa Nyerere | Gazeti la Jamhuri) Ben nae?