JPM kashakataliwa na watanzania, unaishi nchi gani wewe?
Kuna watu wanashangaza sana, Magufuli mwenyewe anajuwa wazi kakataliwa kata kata na wananchi lakini wapambe wao hawaaminiMagufuli atashinda kwa vigezo gani wakati watanzania wengi tumemkataa hakika??
Mkuu Mindi , kwanza asante kwa mchango wako, nadhani tangu bandiko hili limepanda mpaka sasa more than 100 posts, mchango wako ndio the most objective.Mwanakijiji amefeli kabisa. Ni kweli project Lowasa ilikuwa na mapungufu makubwa, lakini anashindwa kutambua kwamba Lissu wa leo amezaliwa na udikteta na ukatili wa utawala wa Magufuli. Siasa za mazungumzo za Kikwete zilimdumaza Lissu akabakia kujiona ni mbunge tu. Lakini ubabe wa Magufuli umeiamsha GENIUS ya Lissu. Hivyo Lissu 2015 asingeweza kutamba hivi na kuungwa mkono hivi.
Ni kweli ameichonga CHADEMA na ameiamsha upya, na watanzania wameitikia. Tanzania pia ipo tayari kumpokea Lissu kama kiongozi wao, baada ya kuchoshwa na ubabe wa Magufuli. Lissu ndie mtanzania pekee mwenye uthubutu wa kumkabili Magufuli, pamoja na maguvu yake na ukali wake. Hilo halikuwepo 2015.
Kulikuwa na hoja zinajengwa kwamba ACT ndio inakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani. Lakini Kimbunga cha Lissu pamoja na kimeo cha Membe, vimefutilia mbali ndoto hizo na sasa ACT wanakuwa washirika wa CHADEMA .
Lissu bado anamhitaji saaaana Mbowe. Na kwa kweli bila msimamo, hekima na akili za Mbowe, Lissu asingevuka kirahisi shambulio la risasi. Kwa hiyo unaweza kusema Mbowe ni mmoja wa wakunga wakuu katika kuzaliwa Lissu wa leo. Na hilo Lissu analijua, na anamheshimu sana Mbowe.
Mwanakijiji ana hangover za 2015 na anataka kupanga meza ili afunike blunder zake katika kumsapoti Magufuli kwa hasira za Lowasa kuja CHADEMA
Hapa Mzee Mwanakijiji alisema kweli, hili la kwanza limetokea, Lissu ameshindwa.Wanabodi,
Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri,
Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize
Kwa faida ya watumiaji wa bundle kwa budget hivyo hawezi kufungua video links na wale wenzangu na mimi wa kiwango cha uelewa wa chini kiasi cha kutoweza kumuelewa GT wa level ya Mkuu Mzee Mwanakijiji,
nawawekea paraphrased version, naomba kunukuu
"Nije kwa ndugu yangu Lissu...,
Lissu ni mtu ambaye anayeweza kuja kuwa rais wa Tanzania, hili sina shaka, sina shaka kabisa, na ana qualifications zote,
Jambo pekee ambalo amelikosa, na hii ninayo waambia, ndio sio sababu kubwa kwanini Lissu, sio tuu kwamba atashindwa, bali inampasa ashindwe, unisikilize vizuri.
Lisu atashinda, lakini pia inampasa ashindwe, nitakuambia kwa nini, kwasababu ndio utaamua upinzani wa Tanzania unaelekea wapi. Hili linalotokea leo hii, lilitakiwa litokee 2015, leo hii kuna mstari umechorwa mweupe kabisaa, kati ya CCM na Chadema, ile separation is very clear, watu wanaomuunga Lissu wapo na wanajua kwanini, na wanaomuunga Magufuli wapo na wanajua kwanini, Lissu atakaposhindwa, itaamua Chadema iende vipi 2025, ina ajenda gani?.
Na jambo la kwanza ambalo napenda kulisikia kabla ya mwisho wa wiki hii, baada ya Magufuli tuu kutangazwa kuwa rais,
(atashinda nimewaambia), (kwa msisitizo)
Freeman Aikaeli Mbowe, ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu chama, Lissu aijenge Chadema kwa image yake, na anataka chama cha upinzani kiende vipi.
Na nnajua (Lissu) ni mwanaharakati, na hii labda ndio weakness yake, lakini sasa ni lazima aanze kuonekana kama ni statesmanship, kuonyesha statesmanship, lazima Lissu aanze kuonekana kama kiongozi kweli wa upinzani, na hivyo aone, ni kwamba atakipokea chama hiki kabla ya mwisho wa wiki hii, na akae chini na...
mimi of course, mimi I'm always open, wakisema Bwana Ben, tunaomba uje uzungumze nasi, unatushauri vipi sasa hivi, mimi I'm very frank, mimi kwangu Tanzania ni kubwa zaidi kuliko hawa wagombea, kuliko hivi vyama vya kisiasa...
Lakini Lissu, atatakiwa aijenge Chadema, hastahili kupewe kura za pole, shukrani, hongera au asante, anatakiwa apewe kura za kuonyesha kama amekuwa kuongozi wa upinzani, na ameujenga upinzani wa Tanzania, na ana miaka 5 kuamua Chadema inakuwaje"-Mzee Mwanakijiji
Mwisho wa kunuku
My Take
Kufuatia exposure ya Mkuu Mzee Mwanakijiji, mimi naukubali ushauri huu ni ushauri wa busara sana, hivyo nawashauri wale wote wanaomkubali Mzee Mwanakijiji, na walipanga kesho wampigie kura Lissu, sasa kura hizo, waziweke akiba hadi 2025, kwa kesho, badala ya kuzipoteza kwa kumpigia mtu ambaye hata shinda, bora wampe Magufuli ambaye ndiye atamkabidhi Lissu ikule ile 2025.
Paskali
Mkuu Kyalow , sijui ni ugeni au kusahau tuu, jf tuna sheria yetu inaitwa "name calling", hairuhusiwi kumfananisha mwana jf na mtu yoyote, hivyo kumfananisha Mzee Mwanakijiji na mtu mwingine yoyote ni name calling!.Mkuu kwani Mzee Mwanakijiji si ndio wewe pia?
Kwanini usiandike kwa ID yako ya Mayala tuu
Maana ya Mayalla ni njaa, pambana na njaa yakoMkuu Kyalow , sijui ni ugeni au kusahau tuu, jf tuna sheria yetu inaitwa "name calling", hairuhusiwi kumfananisha mwana jf na mtu yoyote, hivyo kumfananisha Mzee Mwanakijiji na mtu mwingine yoyote ni name calling!.
P
Great minds think alike?Mkuu Kyalow , sijui ni ugeni au kusahau tuu, jf tuna sheria yetu inaitwa "name calling", hairuhusiwi kumfananisha mwana jf na mtu yoyote, hivyo kumfananisha Mzee Mwanakijiji na mtu mwingine yoyote ni name calling!.
P
Magu hashindi uchaguzi huu, tunaenda second round ndio atashindwa kabisa
Mkuu Drifter, kwanza asante kwa mchango wako, very objective, kiukweli tangu nimepandisha uzi huu, wewe ndio mtu wa kwanza kunielewa, kwasababu, kiukweli kabisa, hii jf ya sasa, tuna watu wachache sana, wenye kuweza kusoma bandiko na kisha kujiuliza what is the motive behind.Swali moja rahisi sana kwako Paskali. CHADEMA ikifa, Watanzania na taifa kwa ujumla tutapata hasara gani? Unaamini NI LAZIMA CHADEMA iendelee kuwepo (exist)?
Maelezo yote hayo marefu sana uliyotoa na ambayo umekuwa ukiyatoa zaidi ya mwaka kuhusu CHADEMA, yanadhihirisha kuwa kwa mazingira ya kisiasa tuliyo nayo Tanzania, HAIWEZEKANI tuwe na mfumo wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini ambao ni BONA FIDE GENUINE.
Halafu, VERY CURIOUSLY, siioni juhudi yako ya dhati kuwaasa wenye dhamana ya kutengeneza mazingira sahihi ya demokrasia ya vyama vingi Tanzania ili kuwezesha vyama kama CHADEMA kuwepo na kufanya shughuli zake kwa ufanisi. Hapo ungeeleweka badala ya kupania kwa makala kadhaa zilizojaa jazba nyingi kutaka CHADEMA IWEPO na ikubaliane na dola tu hata katika mazingira hatarishi kiasi gani!
WHAT’S YOUR REAL MOTIVE?
Mbowe alipaswa kuachia chama siku nyingi na kumkabidhi LIssu!, iweje bado anang'ang'ania?.Wanabodi,
Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri,
Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize