Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Hivi wanaofurahia Kushikiliwa kwa ndege ya ATCL mnafikiria Serikali ya Tz Haina uwezo wa kurudisha konde kwa konde?
Hauwezi enda kortini kwa utumbo wako bila kufahamisha ATCL malalamishi yako tena ukimbie na hukumu iso fanywa kwa kusikiliza pande zote mbili.
Nzi wa kijani katika ubora wenu.Hivi wanaofurahia Kushikiliwa kwa ndege ya ATCL mnafikiria Serikali ya Tz Haina uwezo wa kurudisha konde kwa konde?
Hauwezi enda kortini kwa utumbo wako bila kufahamisha ATCL malalamishi yako tena ukimbie na hukumu iso fanywa kwa kusikiliza pande zote mbili.
wewe unalalia nyumba ya mbavu unamdharau inamhusu nini?Ramaphosa nimemdharau sana
Hivi Accacia mlio sema ikiguswa Tz itapigwa mnada ipo wapi leo? Kwa uoga wenu msahau dola kabisa. Mbakie kuimbia pambio Lissu na Mbowe lakini dola hapanaNzi wa kijani katika ubora wenu.
unayomshauri hapa hata maprofesa aliowjaza wizarani ndio wanamshauri upupu huu huu, endelea , mwambie kuna ubalozi wa south africa, kuna magar yao , vyote avishikilie, simple tu, si ana jeshi kubwa na polisi, kwa nini bhana.
uharo mtupu, kati ya dola zote mlizosema mnapewa sijui kishika uchumba zimekuja, mliwaacha watoe press conference wao ama mlikuja na kiswahili chenu cha porini huko, msifikiri haifahamiki kilichotkea, ulizia yale makontena ya makinikia yalipo, wewe endelea na " iyena iyena" tutakuja kuongea lugha moja tu, mda unakujaHivi Accacia mlio sema ikiguswa Tz itapigwa mnada ipo wapi leo? Kwa uoga wenu msahau dola kabisa. Mbakie kuimbia pambio Lissu na Mbowe lakini dola hapana
Bangi unayovutaga ni Kali sanaHivi wanaofurahia Kushikiliwa kwa ndege ya ATCL mnafikiria Serikali ya Tz Haina uwezo wa kurudisha konde kwa konde?
Hauwezi enda kortini kwa utumbo wako bila kufahamisha ATCL malalamishi yako tena ukimbie na hukumu iso fanywa kwa kusikiliza pande zote mbili.
Sidhani kama Rais anaweza kuingilia mahakama,ila hawa jamaa hawana dhamanaRamaphosa nimemdharau sana
Ameenda mpaka mazimbu,au nawao waje wachukue makaburi yao nasisi tunataka tulitumie lile eneo....ha ha hajamani comredi ramaphosa sio mzuri mazeee....si ni majuzi tu tumempa madesa na makamusi ya kiswahilii!!
kwa tanzania si kashawaweka kwenye mfuko wa koti, alihisi na huko south ndiyo hivyo.Sidhani kama Rais anaweza kuingilia mahakama,ila hawa jamaa hawana dhamana
akili ya nzi wa kijani hizi, shule aa kata sijui mliambulia kitu gani aise, duhAmeenda mpaka mazimbu,au nawao waje wachukue makaburi yao nasisi tunataka tulitumie lile eneo....ha ha ha
Ngoja tuone mwisho wakekwa tanzania si kashawaweka kwenye mfuko wa koti, alihisi na huko south ndiyo hivyo.
jpm ajue tu kwa sasa afrika kusini bunge kinamuhoji raisi alipotoa hela za kampeni, just imagine ingeuwa hapa bongo, wahindi wote wanaichangiaga ccm, na sheria hairuhusu.
Sawa mwenye IQ kubwaakili ya nzi wa kijani hizi, shule aa kata sijui mliambulia kitu gani aise, duh
Ningekuwa wewe ningemheshimu sababu anajali katiba ya nchi hivyo anaacha sheria ichukue mkondo wake. Ulitaka mkuu wa mkoa wa ilipo ndege aamuru waiachie au???? Muulize Zuma akwambie sera na katiba za SA bila kujali vyama.Ramaphosa nimemdharau sana
samahani boss, nisamehe siajkusudia kuku ofend, nisamehe, ila tumia logoc and reasoning, hata hitlar alisifa hivi hicvi, al bashir wa sudan mpaka mwaka huu nchi za afrika zilimpa kiburi lakini leo hii kapinduliwa na wananchi wake, yupo lipango, tumia akili, kama ni maisha yapo tuSawa mwenye IQ kubwa