Wewe kibabu siku hizi bado unazurura?Buda dawa ya deni ni kuilipia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kibabu siku hizi bado unazurura?Buda dawa ya deni ni kuilipia
MKUU WEWE MSEMAKWELI, Jiwe kazoea ubabe ananyanganya wakandarasi passport, sijui anavunja sheria na kaiba, sijui machinga wakae popote, sijui korosho, ingekuwa south siku nyinginwashamfurusha, huu ujinga umelelewa na ccm na mazombi, wamewachukua watu msukule kwa kigezo cha uzalendo, kama kweli walikuwa wazalendo basi wachangishane matawi ya CCM kulipia hiyo ndegeObviously for them to detain ka ndege ka ATCL ni lazima walionyesha convincing evidence kwa korti ndio ndege ikashikwa.
We mjinga unafikiri SA ni kama Tz yenyu ambapo ujinga na ndoto chafu za Magufuli ndio sheria?
Accacia inawangojea pale mtakapoanzisha safari za London washike drimulaina!!! 😂 😂 😂 😂Hivi Accacia mlio sema ikiguswa Tz itapigwa mnada ipo wapi leo? Kwa uoga wenu msahau dola kabisa. Mbakie kuimbia pambio Lissu na Mbowe lakini dola hapana