Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Weka picha tu na mahakimu utawaona wa kutosha
Kila mtu humu anajua kinachoendelea na kutoa hukumu kabisaaaa
Kila mtu humu anajua kinachoendelea na kutoa hukumu kabisaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wanaofurahia Kushikiliwa kwa ndege ya ATCL mnafikiria Serikali ya Tz Haina uwezo wa kurudisha konde kwa konde?
Hauwezi enda kortini kwa utumbo wako bila kufahamisha ATCL malalamishi yako tena ukimbie na hukumu iso fanywa kwa kusikiliza pande zote mbili.
Taarifa zinasema kwamba hili ni deni la mtu binafsi ambaye anaidai Tanzania toka miaka ya 1980s, inahusiana na Ardhi ambayo serikali ya Tanzania iliichukua toka kwa mzee huyo wa kizungu na kukubaliana GoT kumlipa fidia huyo mzee mwenye umri wa miaka 76 kwa sasa, serikali ilimlipa $20M, lakini haikumalizia hayo malipo kwa miaka mingi, sasa amekwenda mahakamani ambapo ameruhusiwa kushika Mali yoyote ya Tanzania.
JPM sio muoga kama wewe..Maandamano mliambiwa na mange mtokeleze barabara mkashidwaAcha kumjaza ujinga mwenzio
Ili iweje?, kwani ndege ilipozuiliwa Canada lilikua deni la ATCL?.Leo hiyo taarifa hapa tuione[emoji23][emoji23][emoji23]. ATLC lazima ilipe deni.
Ningekuwa wewe ningemheshimu sababu anajali katiba ya nchi hivyo anaacha sheria ichukue mkondo wake. Ulitaka mkuu wa mkoa wa ilipo ndege aamuru waiachie au???? Muulize Zuma akwambie sera na katiba za SA bila kujali vyama.
wewe unalalia nyumba ya mbavu unamdharau inamhusu nini?
kopa lipa, kama umezoea kudhulumu ramirambi za kagera, fidia kimara, kura, eh wazabuni wa serikali, wapinzani ukaanza kuvuka mipaka pale umechemka jombii
Niite mropokaji lakini ujue kuwa sheria kwanza, urafiki baadaye. Tangu Tupiganie uhuru nchi za wenzetu kama hao SA, Namibia, Zimbabwe, Msumbiji, Sherisheri na nyingine tumevuna nini? Watu wajomba zetu hata makaburi hatuyajui na kibaya zaidi hata kifuta macho hakikutolewa miaka ya sabini na mwingine kafia Msumbiji wakati wanapigana wenyewe kwa wenyewe. Uzalendo uendane na haki kwa waliouonyesha. Nafurahi kuona SA walipigania uhuru na sasa wanaheshimu sheria za nchi.Mkuu unaijua diplomasia yetu na south Africa Au unaropoka tu
Nchi yetu inahujumiwa still unacoment irrelevant? Is this fair!
cc khadija kopaAhahaha umejifunza ngumi leo wataka kupigana na Tyson?
JPM sio muoga kama wewe..Maandamano mliambiwa na mange mtokeleze barabara mkashidwa
kwa tanzania si kashawaweka kwenye mfuko wa koti, alihisi na huko south ndiyo hivyo.
jpm ajue tu kwa sasa afrika kusini bunge kinamuhoji raisi alipotoa hela za kampeni, just imagine ingeuwa hapa bongo, wahindi wote wanaichangiaga ccm, na sheria hairuhusu.
Obviously for them to detain ka ndege ka ATCL ni lazima walionyesha convincing evidence kwa korti ndio ndege ikashikwa.Hivi wanaofurahia Kushikiliwa kwa ndege ya ATCL mnafikiria Serikali ya Tz Haina uwezo wa kurudisha konde kwa konde?
Hauwezi enda kortini kwa utumbo wako bila kufahamisha ATCL malalamishi yako tena ukimbie na hukumu iso fanywa kwa kusikiliza pande zote mbili.
Hawa wajinga Tz they're advocating rule of the jungle and "state sponsored terrorism on SAA " kama vile wanatawaliwa na huyu JPM wao.Rule of law is alien to them.Buda dawa ya deni ni kuilipia
Mbona Tanzania kuna watanzania wenzetu tunawaambia sio watanzania, unashangaa wasouth kubania kazi zaoBlack South Africans are the Most useless African Brothers and Sisters,
They normally elect crooks to be their Leaders, Yule Ramaphosa hata akizungumza unaona kabisa ni Armature who got access to the power probably because of $$ or ANC wanted an immediate replacement of Zuma, Just Imagine Jacob Zuma was a standard Seven President, very Armature,
And I can assure you if the whites will exit SA, it will immediately be like Zimbabwe ,
It is only in South Africa where the Illiterate fella will complain that A medical Doctor from Zimbabwe took his Job.
the way they harass their fellow Africans doing business in There tells everything
But In 10-15 years time they will be wondering how Tz catched up while they stuck in their old Xenophobic attitude,
Na hii najua ni Wivu tu wa biashara bearing in mind that SAA is dying as we speak.
China owe Almost All african countries billions of $$ but you wont hear such embarrassments in public.
Ni bora udaiwe na mhindi sio mtu wa Africa Kusini.
Leo mumeamua kumsifia eti?😂😂😂Ndiyo sio muoga ila sio mjinga kama wewe.
Ramaphosa nimemdharau sana
Leo mumeamua kumsifia eti?[emoji23][emoji23][emoji23]