Mh. JPM naomba uelekeze macho kwa wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Africa Mashariki. ...walifanya kazi kwa uadilifu kama ilivyo kauli mbiu yako lakini HAWAJALIPWA haki zao. ..wengi wamekufa. ..ni dhambi kuona waliotumikia taifa wakipuuzwa
Kwa kweli inasikitisha, Mimi baba yangu alistaafu 1979, mpaka leo hatujalipa kama sio dhuluma ni nini? Wakati pesa ilitolewa na wenzetu nchi jirani walilipwa bila shida yoyote.