JPM: Walipe Wastaafu EAC

JPM: Walipe Wastaafu EAC

aaamuk

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
707
Reaction score
209
Mh. JPM naomba uelekeze macho kwa wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Africa Mashariki. ...walifanya kazi kwa uadilifu kama ilivyo kauli mbiu yako lakini HAWAJALIPWA haki zao. ..wengi wamekufa. ..ni dhambi kuona waliotumikia taifa wakipuuzwa

Wasalaam
 
Kwa kweli inasikitisha, Mimi baba yangu alistaafu 1979, mpaka leo hatujalipa kama sio dhuluma ni nini? Wakati pesa ilitolewa na wenzetu nchi jirani walilipwa bila shida yoyote.
 
Kama ni KAZI TU BASI hata na kulipa Madeni ya wastaafu wa Africa Mashariki ni kazi tu.

Tusiangalie mambo ya sasa wakati kuna wazee watanzania waliostaafu wanadai serikali miaka chungu nzima
 
Back
Top Bottom