JSL Consultant: Tunasajili biashara, kampuni, NGO kwa bei nafuu

mimi niliwahi sajili jina la biashara brela nikalipia 20k lakn sijui ilikwama nini nikapotezea

je unaez kukwamua nilipoishia?
 
Mbali ya hiyo namba yenu ya simu, je mna ofisi hapa Dar na ipo wapi?
 
Gharama ya kusajili kampuni ni 100,000 tu
 
Mkuu samahani,, vp kuhusu leseni ya biashara nahitaji vipi kuhusu bei, muda gani inakua tayari,, na inakuaje kuipata maana nipo mkoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…