jslcourier
JF-Expert Member
- Dec 25, 2023
- 216
- 38
- Thread starter
- #81
Karibuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alichomaanisha huyo mchangiaji hapo juu ni kuwa ungeandaa kitu kama kipeperushi fulani (Brochure) ambayo ungeonesha shughuli unazozifanya (briefly) na gharama zake (halafu hicho kipeperushi ungekitupia humu jamvini). Vilevile, ungeweza kuweka maelezo ya majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusiana na huduma unayotoa. Hii ingewafanya Wateja wako wasiulize maswali ambayo ni basic sana na ungewapata Wateja wengi kwa urahisi.Karibu mkuu ofisi zetu zipo dar segerea
Alichomaanisha huyo mchangiaji hapo juu ni kuwa ungeandaa kitu kama kipeperushi fulani (Brochure) ambayo ungeonesha shughuli unazozifanya (briefly) na gharama zake (halafu hicho kipeperushi ungekitupia humu jamvini). Vilevile, ungeweza kuweka maelezo ya majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusiana na huduma unayotoa. Hii ingewafanya Wateja wako wasiulize maswali ambayo ni basic sana na ungewapata Wateja wengi kwa urahisi.