jslcourier
JF-Expert Member
- Dec 25, 2023
- 216
- 38
- Thread starter
-
- #61
Mkuu samahani,, vp kuhusu leseni ya biashara nahitaji vipi kuhusu bei, muda gani inakua tayari,, na inakuaje kuipata maana nipo mkoani.
Nipigie 0748220018
Nitakupa ushauri jinsi ya kufanya
Ungemjibu ungesaidia wengi kujua zaidi na kujiandaa
I see, wajinga ndio waliwao.Kusajili jina la biashara jumla ni 60,000 tu
I see, wajinga ndio waliwao.
Watanzania sijui nani aliyetuloga biashara/huduma za mtandaoni yani mteja nianze kupiga simu nakuuliza bei pia niulize ofisi zilipo ?mbona mpo local sana? Jifunzeni basi huko duniani wenzenu wanachokifanya