JSL Consultant: Tunasajili biashara, kampuni, NGO kwa bei nafuu

Sajili kampuni yako ndani ya siku moja tu
 
Karibu mkuu ofisi zetu zipo dar segerea
Alichomaanisha huyo mchangiaji hapo juu ni kuwa ungeandaa kitu kama kipeperushi fulani (Brochure) ambayo ungeonesha shughuli unazozifanya (briefly) na gharama zake (halafu hicho kipeperushi ungekitupia humu jamvini). Vilevile, ungeweza kuweka maelezo ya majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusiana na huduma unayotoa. Hii ingewafanya Wateja wako wasiulize maswali ambayo ni basic sana na ungewapata Wateja wengi kwa urahisi.
 

Asante kwa ushauri nalifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…