Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,860
Hapo ukimuuliza jina tu na namba ya uaskari lazima akubambikie kosa....raia rinajifanya rijuaji
Hapo kwenye kusoma marlezo yako kabla ya kutia sahihi inaweza kuambatana na kipondo
Sheeeeeeda sana
Tukikomaa na kuwaonyesha tunajuwa haki zetu watabadilika tu
Ata miaka kadhaa iliyopita ilikuwa ni vigumu sana raia kukaa na asikari meza moja
Lakini siku hizi ni jambo la kawaida kabisa