asanteni sana mwana haki na wengine mlioweza kunkuu sheria za Jamhuri ya Muungano.Napenda kuwaambia sijui mnakaa dunia gani! hakuna hata kipengele kimoja unaweza kitekeleza unapotokewa na mt u anaitwa POLICE!
ni mtu mwenue nguvu kubwa katika dola yeye pia akiwa hajui sheria.kumwelimisha raia ni bure kabla hujamwelimisha POLICE.
wana makosa mengi na ukiukaji wa sheria, mfano: kumbambika mtu kesi, kumkamata ndugu wa karibu au mke wa mshukiwa apatkane, kuzuia mtuhumiwa asionekane na mtu yeyote na mengineyo mengi!
wasikie wachangiaji Maoni upate statistics za jambo hili.