ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hali ni mbaya sana mawilayani huku wafanyabiashara wengi waliokuwa wanawika wamefilisika Na kufunga biashara zao kwa sababu ya TRA. Mnapaswa muwalee wafanyabiashara ili wapate faida just imagine Mfanyabiashara anapigwa penalt ya kodi millioni 200 lazima afunge biashara akimbie.
Zamani msimu kama huu ukitembelea huko wilayani kwenye magodown unakuta MTU ana gunia 1000 za mahindi Na Michele anauza hakuja njaa Na anapata faida.
Mmechukua Pesa mmeenda kujengea reli maflyover na bwawa la umeme aisee hadi dhambi MTU anakufa kwa njaa Na ukitangaza wanakuziba mdomo utangaze kwamba kafa na malaria.