Jua kali, hakuna mvua, kodi kubwa

Jua kali, hakuna mvua, kodi kubwa

Kawaida yetu mbona.....mi huwa nalima ya kula tu ivo hata sijui nje Kuna shida gani ya unga....mchele ndo nalia nao😥
Hongera sana unafanya vizuri. Ukiwa mtumishi wa serikali mikoa ya nyanda za juu Kusini usipofanya maendeleo kupitia kilimo umejitakia

Saivi mchele shingapi?
 
Super 60 hadi 65
Good news ni kwamba mabonde ya kulima mpunga huko Mbeya yalipata mvua za kutosha. Kwa hiyo tunatazamia pia bei ya mchele kushuka mavuno yakianza

Ukiona mikoa ya nyanda za juu Kusini imevuna chakula cha kutosha huwa kunakuwa na nafuu huku ukanda wa Pwani kwenye bei za vyakula. Maana ndo wanaoilisha hii Dar
 
Na Mimi Niko Lindi..njinjo huko Kilwa mpk mtama umekauka..nachingwea tunapotegemea mahindi hakuna kitu..Liwale kidogo kuna matumaini ys mvua..tuombe ile dua iliyopigwa Lindi ifanye kazi
Aise ndugu ni kukavu nilikuwa hapo Kandawale nimetoka kidogo ntarejea ndani ya siku kadhaa hali ni tete
 
Back
Top Bottom