ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ndege John.. Fafanua huko zaman zipi?Hali ni mbaya sana mawilayani huku wafanyabiashara wengi waliokuwa wanawika wamefilisika Na kufunga biashara zao kwa sababu ya TRA.mnapaswa...
Na Mimi Niko Lindi..njinjo huko Kilwa mpk mtama umekauka..nachingwea tunapotegemea mahindi hakuna kitu..Liwale kidogo kuna matumaini ys mvua..tuombe ile dua iliyopigwa Lindi ifanye kaziNipo Lindi hapa Hali Ni mbaya Sana ,nimetembelea mtwara nako Hali tete ,,unga lazma utafika 3.5k mpk 4k ....biashara ngumu balaa natamani nifunge lakn sioni kwa kukimbilia ,
Una duka wapi nije kukuchangia Na unauza niniNipo Lindi hapa Hali Ni mbaya Sana ,nimetembelea mtwara nako Hali tete ,,unga lazma utafika 3.5k mpk 4k ....biashara ngumu balaa natamani nifunge lakn sioni kwa kukimbilia ,
Mbona mvua nyingi sana mkuu,au ni mkoa na mkoaNa Mimi Niko Lindi..njinjo huko Kilwa mpk mtama umekauka..nachingwea tunapotegemea mahindi hakuna kitu..Liwale kidogo kuna matumaini ys mvua..tuombe ile dua iliyopigwa Lindi ifanye kazi
Nilikuwa nimepanda ekari 2 kiukweli sipati hata moja Tena nilipanda mvua za Kwanza yaani yamekauka balaa hata mvua ikinyesha hayaponi, mwananchi wa hali ya chini lazma aive macho kupata mloNa Mimi Niko Lindi..njinjo huko Kilwa mpk mtama umekauka..nachingwea tunapotegemea mahindi hakuna kitu..Liwale kidogo kuna matumaini ys mvua..tuombe ile dua iliyopigwa Lindi ifanye kazi
Una duka wapi nije kukuchangia NaNipo Lindi hapa Hali Ni mbaya Sana ,nimetembelea mtwara nako Hali tete ,,unga lazma utafika 3.5k mpk 4k ....biashara ngumu balaa natamani nifunge lakn sioni kwa kukimbilia ,
Songea, Moro, Kanda ya ziwa na mbeya mvua mnapata huko..pwani huku ni hatariMbona mvua nyingi sana mkuu,au ni mkoa na mkoa
Mvua zipo wapi au Zile za TMA mvua za upindeMbona mvua nyingi sana mkuu,au ni mkoa na mkoa
Inanyesha sana....mbeya hapa ni imefululiza tangu jumatatuMvua zipo wapi au Zile za TMA mvua za upinde
Watu kila Siku tu wanapigana Miti tena Nyuma hiyo Mvua itoke wapi? Acha Jua lituunguze tu.Hali ni mbaya sana mawilayani huku wafanyabiashara wengi waliokuwa wanawika wamefilisika Na kufunga biashara zao kwa sababu ya TRA...