wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Sasa mbona unanichanganya tena boss? Umesema jua limetoka kusini linakuja ikweta leo 21/3 na septemba linarudi tena ikweta. Sasa kama halitembei huko kote linatokaje sasa?Jua halizunguki Dunia.
Ila leo litakuwa Ikweta kutokana na Dunia kujizungusha katika mhimili wake,
... ufasaha ni dunia itajilengesha Ikweta. The Sun is stationary.
Sasa mbona unanichanganya tena boss? Umesema jua limetoka kusini linakuja ikweta leo 21/3 na septemba linarudi tena ikweta. Sasa kama halitembei huko kote linatokaje sasa?
Asante kwa kutudadavulia, lakini ni sahihi kusema jua linaingia......( Ikweta, kaprikoni, Kansa, kusini, kaskazini, nk) ilhali tunajuwa jua halitembei, na objects zingine kama sayari, nyota, vimondo, satellites, nk, ndio huzunguka jua?Kwema!
Joto la leo likanifanya niikumbuke Jiographia ya Kidato cha Kwanza.
Leo na kesho Tarehe 20 na 21 March Jua litakuwa Ikweta baada ya kuingia katika kizio cha Kusini(southern hemisphere) Tropical of Capricorn tangu mwaka Jana September lilipokuwa pia Ikweta.
Hivyo ni kusema jua limetoke Kusini na hivi leo na kesho litakuwa Ikweta likiigawanya Dunia katika mapande mawili yaloyolingana. Kumaanisha Usiku na mchana kutakuwa Sawa na hii wanajiografia wanaiita EQUINOX Yaani usiku na mchana kulingana.
Kumaanisha kuanzia tarehe 22 masika umeanza, mvua katika baadhi ya Maeneo zitaanza kunyesha hasa kwenye wiki ya mwandamo wa mwezi katika siku kumi mpaka kumi na tano zijazo.
Jua huwa ikweta Mara mbili Kwa Mwaka,
20,21 March ambayo hutambulika Vernal Equinox ambapo Msimu wa Masika huanza, na usiku na mchana hulinganana.
pia 20,21September ambayo hutambulika kama Autumnal equinox ambapo msimu WA Vuli huanza. Pia urefu WA usiku na mchana hulinganana.
Jua Kwa sehemu kubwa ndio huongoza Hali ya hewa na tabia ya nchi.
Masuala Kama ya jotoridi, kiwango cha unyevunyevu angani, Upepo, mawingo, Mvua huratibiwa Kwa kiasi kikubwa na Jua.
Miale ya jua huchangia pakubwa.
Hata hivyo upo uhusiano wa mwezi kuandama na mabadiliko ya halo ya hewa Kwa baadhi ya Maeneo.
Endapo jua litakuwa Ikweta basi mambo Yafuatayo yanatarajiwa,
1. Ongezeko la joto Kali
2. Mlingano wa usiku na mchana.
3. Mvua kuanza kunyesha hasa siku chache kabla ya mwezi kuandama n.k.
Athari za kiafya zinazoweza kujitokeza;
1. Watu kuumwa kifua na mafua kutokana na wengi kulala usiku wakiwa wamepunguza vyakujifunika, ilhali nyakati za usiku wa manane Hali ya hewa hubadilika na kuwa ya baridi. Hivyo mapafu huingia unyevuunyevu kutokana na baridi.
Tutarajie mvua Maeneo ya Dar es salaam kwani na Maeneo mengi ya Pwani kuanzia wiki hii kutokana na kutakuwa na ongezeko kubwa la unyevuunyevu angani kutokana na joto na uwepo wa bahari hivyo mvua itanyesha.
Naomba niishie hapa!!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Sema maticha wa siku hizi weupe sana. Jaribu kuwauliza juu ya hki uone!
Chuki binafsi kijana,punguza jaziba na chuki kwa mtu usiyemjua!!Nonesense kabisa juha tu wewe
Asante kwa kutudadavulia, lakini ni sahihi kusema jua linaingia......( Ikweta, kaprikoni, Kansa, kusini, kaskazini, nk) ilhali tunajuwa jua halitembei, na objects zingine kama sayari, nyota, vimondo, satellites, nk, ndio huzunguka jua?
Mi ninachojua march 20 simba amefungwa 3 bila...
We ndo huna akili [emoji1787] una wivu kisa umezidiwa uwezo wa maarifa na utambuzi.humuwezi taikon weweNonesense kabisa juha tu wewe
Mkuu, jaribu kucheki usahihi wa 20, 21 September. Kama sijakosea huwa ni 23 September.Kwema!
Joto la leo likanifanya niikumbuke Jiographia ya Kidato cha Kwanza.
Leo na kesho Tarehe 20 na 21 March Jua litakuwa Ikweta baada ya kuingia katika kizio cha Kusini(southern hemisphere) Tropical of Capricorn tangu mwaka Jana September lilipokuwa pia Ikweta.
Hivyo ni kusema jua limetoke Kusini na hivi leo na kesho litakuwa Ikweta likiigawanya Dunia katika mapande mawili yaloyolingana. Kumaanisha Usiku na mchana kutakuwa Sawa na hii wanajiografia wanaiita EQUINOX Yaani usiku na mchana kulingana.
Kumaanisha kuanzia tarehe 22 masika umeanza, mvua katika baadhi ya Maeneo zitaanza kunyesha hasa kwenye wiki ya mwandamo wa mwezi katika siku kumi mpaka kumi na tano zijazo.
Jua huwa ikweta Mara mbili Kwa Mwaka,
20,21 March ambayo hutambulika Vernal Equinox ambapo Msimu wa Masika huanza, na usiku na mchana hulinganana.
pia 20,21September ambayo hutambulika kama Autumnal equinox ambapo msimu WA Vuli huanza. Pia urefu WA usiku na mchana hulinganana.
Jua Kwa sehemu kubwa ndio huongoza Hali ya hewa na tabia ya nchi.
Masuala Kama ya jotoridi, kiwango cha unyevunyevu angani, Upepo, mawingo, Mvua huratibiwa Kwa kiasi kikubwa na Jua.
Miale ya jua huchangia pakubwa.
Hata hivyo upo uhusiano wa mwezi kuandama na mabadiliko ya halo ya hewa Kwa baadhi ya Maeneo.
Endapo jua litakuwa Ikweta basi mambo Yafuatayo yanatarajiwa,
1. Ongezeko la joto Kali
2. Mlingano wa usiku na mchana.
3. Mvua kuanza kunyesha hasa siku chache kabla ya mwezi kuandama n.k.
Athari za kiafya zinazoweza kujitokeza;
1. Watu kuumwa kifua na mafua kutokana na wengi kulala usiku wakiwa wamepunguza vyakujifunika, ilhali nyakati za usiku wa manane Hali ya hewa hubadilika na kuwa ya baridi. Hivyo mapafu huingia unyevuunyevu kutokana na baridi.
Tutarajie mvua Maeneo ya Dar es salaam kwani na Maeneo mengi ya Pwani kuanzia wiki hii kutokana na kutakuwa na ongezeko kubwa la unyevuunyevu angani kutokana na joto na uwepo wa bahari hivyo mvua itanyesha.
Naomba niishie hapa!!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Upo vizuri ROBERT HERIEL tayari mvua inanyesha pande zetu
Mkuu, jaribu kucheki usahihi wa 20, 21 September. Kama sijakosea huwa ni 23 September.

Pia kinachofanya joto kuongezeka ni kuwa, sehemu hii ya Ikweta inakuwa karibu zaidi na jua. Umbo la dunia yetu siyo equiround!Uko sahihi Mkuu, ni 22, 23 Nashukuru

Hata huku kwetu masika ndo yanaisha ishia, na upepo umeshaanza kuvuma sana tu na kama mvua zitaanza kunyesha tena zitaharibu mazao yetu.Ingawa nilikuwa master wa geography O level na A level ila sasa nishasahau hayo mambo. Kweli maisha nyoko
'Athari za kiafya zinazoweza kujitokeza;Kwema!
Joto la leo likanifanya niikumbuke Jiographia ya Kidato cha Kwanza.
Leo na kesho Tarehe 20 na 21 March Jua litakuwa Ikweta baada ya kuingia katika kizio cha Kusini(southern hemisphere) Tropical of Capricorn tangu mwaka Jana September lilipokuwa pia Ikweta.
Hata huku kwetu masika ndo yanaisha ishia, na upepo umeshaanza kuvuma sana tu na kama mvua zitaanza kunyesha tena zitaharibu mazao yetu.