Jua kesho tarehe 21 Machi litaingia Ikweta, Masika kuanza

Halafu kuna hizi, aphelion and perihelion
 
Hongera Robert, geography hii nilifunzwa mwaka 1971, na mwalimu wangu Mrs. Lobbo
 
Huwa najiuliza hata mm,kwa nn masika ina mvua nyingi kuliko vuli wakati formation Ni ile ile sema inatokea kwa upande mwingne...

Hebu tusaidie mkuu kwa faida ya watu wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…