Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kifupi NI Kiambata cha kwenye mafuta ambacho kinafanya mafuta yawe safi, kikiongeza ufanisi wa utumiaji wa mafuta na uwezo wa engine Pia kinapunguza uchavuzi wa mazingira na kuongeza life span ya engine yakoexcellium? Tupe hii maneno yake
Nini kilitokea?changamoto nilikutananayo badala ya diesel nikaweka petrol, lol...
Wakushukuriwa ni Mungu, namaliza kujaza tenki ndiyo najitambua. Ikabidi kusogeza pembeni na kufanya mikakati ya ku empty tenk. Baada ya hapo kilichoendelea ni historia ya kusimuliwaNini kilitokea?