Kwa kifupi NI Kiambata cha kwenye mafuta ambacho kinafanya mafuta yawe safi, kikiongeza ufanisi wa utumiaji wa mafuta na uwezo wa engine Pia kinapunguza uchavuzi wa mazingira na kuongeza life span ya engine yako
Wakushukuriwa ni Mungu, namaliza kujaza tenki ndiyo najitambua. Ikabidi kusogeza pembeni na kufanya mikakati ya ku empty tenk. Baada ya hapo kilichoendelea ni historia ya kusimuliwa